Enyi wanawake msijidanganye na tena msitambe....!!

Enyi wanawake msijidanganye na tena msitambe....!!

mapipando

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,922
Reaction score
3,559
Jumapili na iwe njema kwenu wakuu.

Unakuta mdada/mmama amekaa na shoga zake anawatambia kuwa mpenzi/mumewe ni mpole na hana mchepuko hata kidogo.........thubutuuu........ si ajabu hao anaowaambia kuna mmoja wao ama wawili wanagongwa na huyo kipenzi chake.

Mwanaume bila mchepuko ni sawa na mchuzi wa nyama bila nyama.(Oneni hapo ilivyo haiwezekani)

Nawashauri kwamba msitambe na msijidanganye kuwa waume zenu hawapigi mechi za kirafiki, cha msingi ombeni Mungu wasiwe na michepuko mingi na pia msiitambue michepuko yao.
 
Uzi wa kipuuzi kweli kweli!

Punguza kukaa na wanawake, na ukikaa nao jifunze kutanza siri za nashosti zako!
 
Uzi wa kipuuzi kweli kweli!

Punguza kukaa na wanawake, na ukikaa nao jifunze kutanza siri za nashosti zako!

Nilipo-bold na ku-highlight ndipo nilipouona upuuzi wako na si kwenye mada nilioianzisha.
 
Back
Top Bottom