Enyi wanawake wa JF. . . . !!!!


Kudadadeki!!!!!!!. . . . . . . . . . . .!
 
Amyner mbona unashangaa?Hujawahi kukutana na mwanaume virgin?

Nadhani kwa wanaume huwa mnatafuta maujuzi katika hayo mambo mkiwa wadogo sana, probably mpo more curious than us women.. So by the time mnakuja ku practise kitendo mshakuwa mafundi tayari!
I never met a virgin or perhaps i never noticed that he were! Mmmmh..
 
Ebanae ODM balaa kamchina kangu kameshindwa kuku-quote,nikienda cafe lazima nikugongee LIKE ya nguvu!
 
Sasa Amyner,kidume niko hapa nina thrity something halafu bikra,ebanaeee!Acha kabisa,hivi box manyoya inafananaje vile?Hebu nimegee kidogo. . . . . . .!
 
Begin! They scores in the first 30 sec. Kwenye soccer huyo ni bonge la striker. Just kidding bwna

Kwani hao wazoefu walianzaje?
Last time nime do the mambos demu anasema yaani hata sikudhania kama wewe ni mtaalamu kiasi hiki, jamani ukiondoka hapa dk 5 tu nitaanza kuona wivu
My point is huwezi kumtambua kwa kumwangalia try him
 
Kaka, tatizo ni pale utakapoonja asali na kuamua kufanya biashara ya mizinga! Mmoja mwananyamala, mbagala, tegeta, na wa masaki, afu wife unamuacha tabata! Hapooo tuuuu!
Kwa wanaume wanasema ni bora player. Hofu haiko kwenye ujuzi wa 6x6, manake hata mtoto mdogo akizaliwa hafundishwi kunyonya. Na tuition ya bure utaipata tu, na mtafundishana na wifi. CURIOSITY is very bad!
 
khaaaaaaaaaaaaaaaaaa Eiyer umewaza nini?
ni ngumu sana kuamini aisee........
ingawa kama mwanamke amempenda huyo mwanaume atamkubali bila kujali kuwa mzoefu au bikira,
ila kasheshe ipo kwenye kudo walaaaahhhhhh
unaweza kuta akiingiza tu anakojoa.... haendi hata dakika moja..... hapo ndipo atakapoachwa salenda bridge ashangae taa

 
Last edited by a moderator:

Lakini dada mi nasikiaga yule shem akikusifia kwa mautaalam yako,si unimegee kidogo kwa story halafu praktiko nitatafuta!Au utanionea aibu?
 
hili nalo neno ujue,
maana hakuna kitu kibaya kama kulimbuka ukubwani...
kama hajavuruga mtaa mzima mpaka ukajiuliza hiki nini???




 
 
BADILI TABIA,hivi kumbe mnapenda sebene eeeeh!Ngoja nitoe bikra yangu,sasa ya nini kama nikiingiza nakojoa halafu niachwe?Ngoja nianze na "puchu" kwanza . . Lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…