Enyi wanawake wa JF. . . . !!!!

Enyi wanawake wa JF. . . . !!!!

Usikute vikina Amyner viko PM huko vinajaribu bahati ya kumegwa na kidume bikra hahahahah.... kumbe kidume kimeshaharibu mpaka wakongwe kama kina Kongosho na Mamndenyi

Jamani mi sijui haya mambo,nasikiaga tu mnasema kumega!Kumbe na wanawake wanamegwa,mi nilidhani ni ugali tu ndo unamegwa!
 
Last edited by a moderator:
Dirty mind.

Afu wewe mbona hukuja jana?
Hujui mie bikra?

Jf bana,kila mtu ana style yake ya kutongoza,hii ya kwako eiyer naona ndo funga kazi.
Unanikumbusha njemba ilimvalia mwanamke shanga,baada ya ku do dem akaenda kuwasimulia wenzie kuwa jamaa anavaa shanga,hawakuamini wakawa curious kuona shanga zinakaaje kwenye kiuno cha mwanaume. Matokeo yake kajamaa kalilamba ma shost wote.
Sasa na wewe Eiyer i am suspecting something......a virgin at 30+ ngoja nipate maonjo yake,na mwingine,na mwingine......embu check in box yako mkuu.
 
Hivi ukijua mwanaume anaekutongoza na amekuambia atakuoa,halafu pia ni bikra wa kiume,yaani hajawahi kugusa "box manyoya",je utakubali au utamuona kama mshamba na asiejua lolote?Jamani nataka kujua kama nitapata mwanamke au nipige jalamba kwanza na ushamba wangu huu. . . . . . . . . . . . !!Ni changamoto gani anakabiliana nazo mwanaume kama huyu?Hebu kuweni wazi bana. . . . . . . . . .
Yani kama wewe ndio poa..bado hujachakachuliwa....Amebarikiwa mkeo mtarajiwa!!!!....
 
Back
Top Bottom