ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,326
- 8,505
Hata mimi nawasubiri hao hao, manake dah....
Wapi Mwanajamii1 hapa?
Wapi Mwanajamii1 hapa?
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usidhani yote yanaongelewa hapa watu wanayatenda hayo hayo....kwani adamu na eva nani aliwafundisha ku-do?????kitu natural bwana!Sasa binti sayuni,mbona wengine wanaiponda eti mshamba?
Mijanajike ya humu yote imekubuhu. Kazi kwako.
Hivi ukijua mwanaume anaekutongoza na amekuambia atakuoa,halafu pia ni bikra wa kiume,yaani hajawahi kugusa "box manyoya",je utakubali au utamuona kama mshamba na asiejua lolote?Jamani nataka kujua kama nitapata mwanamke au nipige jalamba kwanza na ushamba wangu huu. . . . . . . . . . . . !!Ni changamoto gani anakabiliana nazo mwanaume kama huyu?Hebu kuweni wazi bana. . . . . . . . . .
Nakutaka razi ndugu yangu....😛ray:Asprin,
Ntake razi.
Uhangaike kwa sababu gani?tena hiyo 'risechi' binafsi ndo huwa inanoga zaidiBinti sayuni kwahiyo na mimi nikipata sitahangaika?
Nakutaka razi ndugu yangu....😛ray: