Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Atatueleza zile kelele zinazotoka chumbani kwao za kimahaba huwa anatumia nini kama mume ni virgin in a maternity ward.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jf bana,kila mtu ana style yake ya kutongoza,hii ya kwako eiyer naona ndo funga kazi.
Unanikumbusha njemba ilimvalia mwanamke shanga,baada ya ku do dem akaenda kuwasimulia wenzie kuwa jamaa anavaa shanga,hawakuamini wakawa curious kuona shanga zinakaaje kwenye kiuno cha mwanaume. Matokeo yake kajamaa kalilamba ma shost wote.
Sasa na wewe Eiyer i am suspecting something......a virgin at 30+ ngoja nipate maonjo yake,na mwingine,na mwingine......embu check in box yako mkuu.
So,i don't have to worry about this au siyo?
Dirty mind.
Afu wewe mbona hukuja jana?
Hujui mie bikra?
Yani kama wewe ndio poa..bado hujachakachuliwa....Amebarikiwa mkeo mtarajiwa!!!!....Hivi ukijua mwanaume anaekutongoza na amekuambia atakuoa,halafu pia ni bikra wa kiume,yaani hajawahi kugusa "box manyoya",je utakubali au utamuona kama mshamba na asiejua lolote?Jamani nataka kujua kama nitapata mwanamke au nipige jalamba kwanza na ushamba wangu huu. . . . . . . . . . . . !!Ni changamoto gani anakabiliana nazo mwanaume kama huyu?Hebu kuweni wazi bana. . . . . . . . . .