Enyi wazinzi ujumbe wenu huu

Enyi wazinzi ujumbe wenu huu

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
1,497
Reaction score
2,681
Uzinzi ni nini?
Uzinzi ni kitendo cha wanandoa wawili wasiotosheka na ndoa zao na kwenda kukutana kimwili na wanandoa wengine, yaani ni kitendo cha kufanya ngono na mtu asiyehalali yako.

Pana mjane mmoja wa watoto saba hadi leo ajakaa sawa kiakili baada ya kutumiwa clip ya video wasap ya wauaji wa mumewe baada ya kufumwa ugoni.

Alitumiwa clip ikionyesha mme Pana sehemu anaenda baada ya kupigiwa simu ya mtego na hawara yake alipofika akadakwa na njemba akawekwa kati akabanwa kwa ushahidi wa message akakiri baada ya kukiri akalawitiwa na njemba nne walipotosheka akauwawa kwa akachinjwa then wakamtupa porini kisha clip nzima wakatumiwa ndugu zake pamoja na mke wake.

Ni msiba mzito kumpoteza mume kisa nyege pia ni trauma haifutiki kwenye akili ndo mjue Pana watu makatili duniani.

Mkiambiwa mke wa mtu ni sumu hamuelewi hadi ukiwekwa mtu kati,inaiacha trauma familia yako, watoto wako,mke wako kisa nyege tu za dk Tano.

Unapochepuka tu tayari umeshafungulia mlango wa uharibifu katika ndoa yako hata uwe mjanja vipi itapita miaka ni lazima tu itakuja julikana kupitia Roho Mtakatifu yeye huweka ya gizani ya sirini peupe.

Kuchepuka ni karma ni lazima tu itabackfire mbaya sana ubakifire wakati ulishasahau , mfano mwenza wako kaishiwa salio anaomba simu yako aendelee na mazungumzo akiwa anatumia simu yako mara paa message inaingia kesi huwa inaanzia Hapo.

Zote hizi ni kazi za Roho Mtakatifu.
 
Halali ni kitu ulichokipata kwa haki, bila kutumia nguvu ama kumdhulumu mtu. Sasa nimetongoza mwanamke, kwa hiyari yake akanikubalia unasemaje sio halali?

Ni nani kasema kwamba nikiwa na mwanamke, sitakiwi kuomba kua na mwanamke mwingine kwa hiyari yake mwenyewe?

Acha watu wale maisha.
 
Hao ni wajinga unalawiti unaua unaozea jela kisa mke Malaya , ukiwa jelaa anabaki mtaani anaendeleza umalaya kwa uhuru.
 
Sasa huyo jamaa ataua wangap Kwasababu ya huyo Malaya wake.
Ifike mahala mke akichepuka achana nae kuliko akupe dhambi za kutoa uhai wa mtu.
 
Uzinzi ni kitendo cha wanandoa wawili wasiotosheka na ndoa zao na kwenda kukutana kimwili na wanandoa wengine, yaani ni kitendo cha kufanya ngono na mtu asiyehalali yako.
Wasiokuwa na ndoa wakatoe wapi ugumu wao? Asie halali kwa mtu ni ndugu wa nasaba moja na wazazi, kinyume na hapo as long as ana jinsia kinyume na muhusika basi huyo ni halali.

Alitumiwa clip ikionyesha mme Pana sehemu anaenda baada ya kupigiwa simu ya mtego na hawara yake alipofika akadakwa na njemba akawekwa kati akabanwa kwa ushahidi wa message akakiri baada ya kukiri akalawitiwa na njemba nne walipotosheka akauwawa kwa akachinjwa then wakamtupa porini kisha clip nzima wakatumiwa ndugu zake pamoja na mke wake.
Itakuwa ni aidha story ya kusadikika ama haijatokea Tz hii. Iwe itakavyokuwa, huyo muuaji akitaka kukata mzizi wa fitina amuue mkewe ambae ndio chimbuko la usaliti.
 
Mwaka 2012 nikikua na mwanamke mmoja tumekaa miaka 3 kama mke na mume.
Hio 2012 kuna jamaa akapiga mara kadhaa kwa ushahidi usio na shaka, baadae kidogo jamaa akabeba moja kwa moja.

Alikua ni mwana mke wangu qa kwaza kwanza hivi, kwa kiasi cha kutosha niliumia sana.

Lakini mdogo mdogo nikawa najifunza kufahamu nini chanzo cha maumivu ya kuhisi au kujua kuna mtu anatembea na mwanamke wako.

Baada ya muda kidogo na shuhuda nyingi nikajua namna kingine kinacho sababisha hayo maumivu zaidi ya ubinafsi.

Kwamba kile changu kiwe changu na asipate mtu mwingine!
Furaha na raha ni pate mimi tu na asipate mtu mwingine!

Sababu mojawapo ya maishi ni pamoja na furaha, sasa mwanamke au mwanaume anapotumia kile chake kupata furaha mtu anamuonea uchungu hadi kudhuru!

Hiki ni kiwango kikubwa cha ubinafsi, na ubinafsi ni udhaifu mojawapo wa kiumbe mwanadamu.

Kama ukifanikiwa kuudhiti ubinafsi kuna namna maisha yatakuwa bora sana.
 
Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.
Romans 6:23

Dhambi yoyote ile mwisho wake sio mzuri.
Naichukua hii
 
Haya sawa...
Cha msingi mwambie mkeo atosheke na kile unachompea,aridhike nawe vile ulivyo....maana asipoacha tamaa ya dudu na pesa...atatombwer tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halali ni kitu ulichokipata kwa haki, bila kutumia nguvu ama kumdhulumu mtu. Sasa nimetongoza mwanamke, kwa hiyari yake akanikubalia unasemaje sio halali?

Ni nani kasema kwamba nikiwa na mwanamke, sitakiwi kuomba kua na mwanamke mwingine kwa hiyari yake mwenyewe?

Acha watu wale maisha.
Sawa bhana kula maisha lakini kumbuka jehanamu inakuhusu Ufunuo 21:8 Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili. Bora uutafute uzima wa milele kuliko kufurahia maisha ya mda kitambo then unakufa unaenda motoni utafteni kwanza ufalme wa mbingu na mengine yote mtayapata kwa ziada
 
Uzinzi ni nini?
Uzinzi ni kitendo cha wanandoa wawili wasiotosheka na ndoa zao na kwenda kukutana kimwili na wanandoa wengine, yaani ni kitendo cha kufanya ngono na mtu asiyehalali yako.

Pana mjane mmoja wa watoto saba hadi leo ajakaa sawa kiakili baada ya kutumiwa clip ya video wasap ya wauaji wa mumewe baada ya kufumwa ugoni.

Alitumiwa clip ikionyesha mme Pana sehemu anaenda baada ya kupigiwa simu ya mtego na hawara yake alipofika akadakwa na njemba akawekwa kati akabanwa kwa ushahidi wa message akakiri baada ya kukiri akalawitiwa na njemba nne walipotosheka akauwawa kwa akachinjwa then wakamtupa porini kisha clip nzima wakatumiwa ndugu zake pamoja na mke wake.

Ni msiba mzito kumpoteza mume kisa nyege pia ni trauma haifutiki kwenye akili ndo mjue Pana watu makatili duniani.

Mkiambiwa mke wa mtu ni sumu hamuelewi hadi ukiwekwa mtu kati,inaiacha trauma familia yako, watoto wako,mke wako kisa nyege tu za dk Tano.

Unapochepuka tu tayari umeshafungulia mlango wa uharibifu katika ndoa yako hata uwe mjanja vipi itapita miaka ni lazima tu itakuja julikana kupitia Roho Mtakatifu yeye huweka ya gizani ya sirini peupe.

Kuchepuka ni karma ni lazima tu itabackfire mbaya sana ubakifire wakati ulishasahau , mfano mwenza wako kaishiwa salio anaomba simu yako aendelee na mazungumzo akiwa anatumia simu yako mara paa message inaingia kesi huwa inaanzia Hapo.

Zote hizi ni kazi za Roho Mtakatifu.
"Uzinzi ni kitendo cha wanandoa wawili wasiotosheka na ndoa zao"???
 
Definition ya Uzinzi kutoka makutopora inafikirisha sana!
 
In a real sense shida ni kutokuwa na uwezo wa kudhibiti hisia( weak emotional inteligence,EIQ).

Hii inawapata wanaume wadhaifu(SIMPS)akina Aziz Ki ambao hawajui maana ya mapenzi na ngono.Nyie wahongaji acheni kutisha watu.Na msipo acha tabia ya kuhonga ndo mpendwe nasemaje mgongewe tu hao wanawake zenu,maana hakuma namna.

Swala la kufumwa ugoni hiyo ni ajali kazini.Kama huna uwezo wa kumiliki mwanamke kaeni kando sasa ukiua ndo utafaidika na nini zaidi ya kuishia jela.

Tumieni akili,ukipewa uchi piga kwelikweli kama ndo mara yako ya mwisho😀😀😀acheni utani.Piga haswaa leta utani bodaboda wakusaidie. UTAWATISHA WANGAPI BWANA WEWE.

Piga tizi,kula vizuri,lala masaa ya kutosha,punguza stress maisha ndo hayahaya.Tafuna mbususu acha kutisha watu nyie vipi.
 
Back
Top Bottom