Enyi wazinzi ujumbe wenu huu

Enyi wazinzi ujumbe wenu huu

Uzinzi ni nini?
Uzinzi ni kitendo cha wanandoa wawili wasiotosheka na ndoa zao na kwenda kukutana kimwili na wanandoa wengine, yaani ni kitendo cha kufanya ngono na mtu asiyehalali yako.

Pana mjane mmoja wa watoto saba hadi leo ajakaa sawa kiakili baada ya kutumiwa clip ya video wasap ya wauaji wa mumewe baada ya kufumwa ugoni.

Alitumiwa clip ikionyesha mme Pana sehemu anaenda baada ya kupigiwa simu ya mtego na hawara yake alipofika akadakwa na njemba akawekwa kati akabanwa kwa ushahidi wa message akakiri baada ya kukiri akalawitiwa na njemba nne walipotosheka akauwawa kwa akachinjwa then wakamtupa porini kisha clip nzima wakatumiwa ndugu zake pamoja na mke wake.

Ni msiba mzito kumpoteza mume kisa nyege pia ni trauma haifutiki kwenye akili ndo mjue Pana watu makatili duniani.

Mkiambiwa mke wa mtu ni sumu hamuelewi hadi ukiwekwa mtu kati,inaiacha trauma familia yako, watoto wako,mke wako kisa nyege tu za dk Tano.

Unapochepuka tu tayari umeshafungulia mlango wa uharibifu katika ndoa yako hata uwe mjanja vipi itapita miaka ni lazima tu itakuja julikana kupitia Roho Mtakatifu yeye huweka ya gizani ya sirini peupe.

Kuchepuka ni karma ni lazima tu itabackfire mbaya sana ubakifire wakati ulishasahau , mfano mwenza wako kaishiwa salio anaomba simu yako aendelee na mazungumzo akiwa anatumia simu yako mara paa message inaingia kesi huwa inaanzia Hapo.

Zote hizi ni kazi za Roho Mtakatifu.
Badili mada mkuu
Wengine wake za watu atgusi kabisa na hatutokaaa

Ila wale wengine atuachiii
 
Labda wanaproject ya kuingiza zaidi.
Eg tukio lao wangepata mdhamini likarushwa dstv angepiga hela
Huko DSTV nani anawajua😄😄😄

Azizi Ki kachafua cleanshit anaungana na Ndikumana na kuwa wachezaji walioenda ugenini wakashindwa kusoma CODE!!!
 
Mbususu kula lkn sio wake za watu utaishia kufrw au kufa. Wenzio wengi wapo kaburini au vilema vya anus wamepata
📌Piga tizi,kula vizuri,lala masaa ya kutosha,punguza stress maisha ndo hayahaya.Tafuna mbususu acha kutisha watu🤝
 
Badili mada mkuu
Wengine wake za watu atgusi kabisa na hatutokaaa

Ila wale wengine atuachiii
What does the Gospel of Philip say about the relationship between Jesus and Mary Magdalene? “The Lord,” he says, “loved Mary more than the disciples and he often kissed her on the mouth …” And Peter said, “Sister, we know that the Lord has loved you differently from other women
Huko DSTV nani anawajua😄😄😄

Azizi Ki kachafua cleanshit anaungana na Ndikumana na kuwa wachezaji walioenda ugenini wakashindwa kusoma CODE!!!
ile ndoa ni drama :Alarm: , na ni kipande kifupi sana cha sinema
 
Back
Top Bottom