Enzi hizo JKT....

Marafiki wapya ambao hadi Leo ( LEO HII) Mnawasiliana na kusaidiana. MNASAIDIANA.
Mimi inanisaidia hadi sasa kuweza kukabiliana na HALI YOYOTE.
 
Marafiki wapya ambao hadi Leo ( LEO HII) Mnawasiliana na kusaidiana. MNASAIDIANA.
Mimi inanisaidia hadi sasa kuweza kukabiliana na HALI YOYOTE.

Naweza kuishi popote, nchi yoyote na katika circumstances zozote na hiyo imeshanitokea so many times na has nothing to do with my one year of national service
 
Nilijifunza na kufaidi kuishi na mtu yeyote na wa status yoyote na kabila tofauti.
Nilipata mafunzo ya ujasiri ukakamavu na uvumilivu
Nilijifunza kilimo cha bustani mbogamboga( bilinganya,nyanya,nk)Ufugaji mbuzi.
Nilijifunza kufyatua tofali na kuzichoma
Ilinisaidia kupanga ratiba zangu vizuri.
Pia imenipa marafiki wengi.
 
Naweza kuishi popote, nchi yoyote na katika circumstances zozote na hiyo imeshanitokea so many times na has nothing to do with my one year of national service
Wakati unamaliza form six hayo unayosema usingeyaweza. So Jkt imekusaidia.
 
hayakuwa mateso kihivyo,mwanzoni sawa shauri ya uraia lakini maafande wakisha kufanya uwe askari unakuwa ok.Nakumbuka best day jkt ilikuwa siku ya kwenda range,mnakwenda kufundishwa kupiga risasi live,kijana unangurumisha SMG!
SAR wewe siyo SMG!!
 
Wakati unamaliza form six hayo unayosema usingeyaweza. So Jkt imekusaidia.

Shule nilizopitia O’Level na A’Level zilikuwa so tough na changamoto nyingi sana tena sana by far than my one year of national service na ndio zilinijenga sana kuwa na nerves of steel na mental and physical toughness na ujasiri niliokuwa nao hadi leo.
Zote ziko mkoa wa Kilimanjaro. Ukizilinganisha na jkt basi jkt kwangu National service was like a walk in the park
Also kuishi nchi za watu bila kumjua mtu yoyote wala kuwa na hata senti mfukoni lakini nikasurvive ndio vilinijenga
 
Coy gani? unamkumbuka yule dada aliyetoroka akarudshwa halafu akaja kuthimulia uwanja wa damu ?
Danger Coy utawala wa Afande Mayai Na Magera,Aaaah mjinga yule...alitoroka halafu alisimulia ujinga mtupu muda mrefu, danger coy tulipata mateso sana kwa ajili ya mwanamke yule, sitasahau, na najua unajua kati ya combania zote danger tulipata kazi, halafu cha ajabu tukawa wa mwisho kwenye kila kitu. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Bravo tulikuwa wa mwsho kulala.Afande chacha wa D coy alinidaka na simu ikawa kasheshe
 
Unanukumbusha chenja hilo burumbora 821 kj
 
Mh mkuu hii itakuwa 835kj tena itakuwa PO Muungano au Kikwete wakati Mayai kaachiwa Dcoy akimwamini sana pvt. Magera sasa ni koplo. Haha mziki wa Dcoy ulikuwa si wakitoto... Magera ana sifa za kijinga sana mkiwa lindo alafu ye ndio guard kamanda haha
 
Sasa mkuu utawezaje kusema haijakusaidia kama hapa unakiri mwenyewe JKT ilikujenga kuwa na nerves of steel na ujasiri ulionao mpaka leo na kuweza kusurvive bila cent mfukoni?
 
Mh mkuu hii itakuwa 835kj tena itakuwa PO Muungano au Kikwete wakati Mayai kaachiwa Dcoy akimwamini sana pvt. Magera sasa ni koplo. Haha mziki wa Dcoy ulikuwa si wakitoto... Magera ana sifa za kijinga sana mkiwa lindo alafu ye ndio guard kamanda haha
ni kweli kabisa, magera alitusumbua sana
 
ni kweli kabisa, magera alitusumbua sana
Nilikuwa Dcoy platoon commander platuni 2. Nadhani unakumbuka tulikuwa tukifanya kikao cha coy alafu mtu akaropoka ujinga kina magera wanajipanga upya haha. Wapi Pvt. Hasira, Aki, Bruno hahaha
 
Duuh D coy palikuwa pamoto sana,kidogo tu unasikia x mbele na nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…