ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,979
Marafiki wapya ambao hadi Leo ( LEO HII) Mnawasiliana na kusaidiana. MNASAIDIANA.Tuko na mtazamo tofauti.
To me personally, naona kwangu ni mwaka ambao ulipotea bure tu bila faida yoyote ile.
The only thing I do appreciate about my one year of national service ni kukutana na marafiki wapya ambao some of them tunawasiliana hadi leo
Other than that naona nilipotezewa muda wangu tu
Mimi inanisaidia hadi sasa kuweza kukabiliana na HALI YOYOTE.