Enzi hizo: Kumbushia vitu vya zamani ambayo havipo sasa

Enzi hizo: Kumbushia vitu vya zamani ambayo havipo sasa

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Maisha yamebadilika kwa kasi sana kuna mambo ambayo yalikuwepo zamani Ila kwa sasa hayapo

Moja ya mambo ninayoyakumbuka zamani ni kwamba zamani tulikuwa tukinunua laini tuna anza kutumia papo hapo bila kusajili. Ila now days mpaka usajili.

Enzi hizo mtu kuwa professor mpaka awe lizee fulani hivi Ila nowdays maprofessor hata vijana wadogo tu.

Enzi hizo ukifaulu form 4 unaonekana msomi wa maana familia inakufanyia gradu ya maana. Ila nowdays ukifaulu watu washazoea wanaona mambo ya kawaida tu.

Enzi hizo mtu akifanya kazi benki watu wanadhani Ana hela kinyama Ila sikuizi washaelewa sio Hivyo.
 
Enzi hizo kuona papuchi ilikuwa mbinde... Ila saiv aaaah mbona nje nje tu
 
Back
Top Bottom