Enzi hizo utotoni

Enzi hizo utotoni

Nakumbuka utotoni ilikuwa kidogo tuwe machokoraa....tunaenda usiku masokoni kuiba maembeee,Kuna kujipikilisha ile na njekaaa Arusha watakuwa wanajua tunaenda kuiba Michele sokoni tunakuja kupika kwenye vikopo.tunaenda aicc Arusha jalalani kuokota mafaili....then tunaenda kuuza shuleni
 
Mpira wa miguu maarufu kama tango master enzi hizo ukiwa unauzwa Tsh elfu kumi na tano pia kulikuwa na tubeless nani anaikumbuka?
Wewe ulikua wa kishua. Malegend tulikua tunafuma kitu ya kuitwa Sembo, watu wa pwani wanaita Chandimu. "Gozi" walikua wanachezea watoto wa kishua magetini kwao!

"Usicheze na huyo, atakuharibu" ndio akina sisi hao uliokatazwa kucheza nao!

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
ya kale dhahabu aiseee kipind hcho tunaendesha ringi jua kaliii shati nimefungua vifungo vyot speed ya ajabu nipo peku peku na timu yangu safar kutoka mbulahat mpk mabibo home mama kaita mpka kait tena ukirud kichapo cha kufa mtu alaf kesho km kawaid smtymz mama alkua anatman niend shul mpk jumapil..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom