Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Nilikuwa single, kuna kaka mmoja alinifuata inbox, tulianza kuchat. Kaka yuko romantic kama vyote. Moyo ukayeyuka. Nikamtumia picha yangu kwa mahaba yote.
Nilikuja kuona amecomment kwa rafiki yake kuwa ametumiwa picha ya sanamu la Michelin.
Hivi ndiyo vituko vya JF.
Nilikuja kuona amecomment kwa rafiki yake kuwa ametumiwa picha ya sanamu la Michelin.
Hivi ndiyo vituko vya JF.