Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 7,973
- 13,647
NimechekaaaaNilikuwa single, kuna kaka mmoja alinifuata inbox, tulianza kuchat. Kaka yuko romantic kama vyote. Moyo ukayeyuka. Nikamtumia picha yangu kwa mahaba yote.
View attachment 1000467
Nilikuja kuona amecomment kwa rafiki yake kuwa ametumiwa picha ya sanamu la Michelin.
Hivi ndiyo vituko vya JF.
Mate una vituko kha!