Auntie haujacheka kama mm [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sky una nini lakini, haki umenichekesha.
hii ni kawaida ya wanaume kama yalivo mabeberu zizin[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] xion cha ajab hapa[emoji91][emoji91][emoji91]Nilikuwa single, kuna kaka mmoja alinifuata inbox, tulianza kuchat. Kaka yuko romantic kama vyote. Moyo ukayeyuka. Nikamtumia picha yangu kwa mahaba yote.
View attachment 1000467
Nilikuja kuona amecomment kwa rafiki yake kuwa ametumiwa picha ya sana my la Michelin.
Hivi ndiyo vituko vya JF.
Mwisho ulimpa reaction gani huyo kaka?Nilikuwa single, kuna kaka mmoja alinifuata inbox, tulianza kuchat. Kaka yuko romantic kama vyote. Moyo ukayeyuka. Nikamtumia picha yangu kwa mahaba yote.
View attachment 1000467
Nilikuja kuona amecomment kwa rafiki yake kuwa ametumiwa picha ya sana my la Michelin.
Hivi ndiyo vituko vya JF.
Sikutegemea kuwa nikifungua uzi hicho ndio nitakutana nacho walah!!Auntie haujacheka kama mm [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwakweli, umenikumbusha kitu nikabaki nacheka tu. Jf bwana.Hizi ndiyo raha za JF
Hahahah tena na picha juu ila wanaume wa jf hapana jamaniSikutegemea kuwa nikifungua uzi hicho ndio nitakutana nacho walah!!
Sky kaifanya jioni yangu imekuwa burudani.
Utamasirikia mtu ambae hata hamuonani! Unaichukulia ni changamoto unaingia gym kupunguza mafuta maisha yanaendlelea.
Yaani acha tu, ni changamoto.Hahahah tena na picha juu ila wanaume wa jf hapana jamani
Wao wenyewe wanajikutaga mahandsomeYaani acha tu, ni changamoto.
Kuna yule alisema alikutana na mdada wa jf ana matiti kama matikiti ya morogoro. Haki mbinguni watapasikia tu wanaume wa humu.