Kweli tena.Sema kweeli
Mjini hatukujii shemelaaa!!
Mwenzangu nitaumbuka si kidogoNawe umewapanga tu, ngoja siku waamue kutaja baby zao humu ndio utaumbuka.
Mbona ndo anaishi huko anafanya kazi ikulu ndogoChato tena amehamia lini huyo mm sina taarifa
Jamani nimekupigia magoti hapa
Kwahiyo nyie wahenga hamuanzishagi thread eeenh
Ebu niambie basi umeahamia lini eti campaign manager sina taarifaHebu hukooo....
Acha unafiki uende mbinguni
Kisa nini etiNimemnunia.
Sooomaaaa hiyoooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] engenerrrrrr ngapi hukooooooooo
Hebu hukooEbu niambie basi umeahamia lini eti campaign manager sina taarifa
Eeenh
Amekula vitenge vyangu.Kisa nini eti
Hahaha hahaha hahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu muache mume wangu anasaka pesa alete nimtunzie.
EeeehhhhAmekula vitenge vyangu.
Ndio hivyo. Mshana aliwafundisha wakipata pesa wawape wake zao watunze.Hahaha hahaha hahaha
Sema ukweli
Asanteeeee bora nina amani ukiniona na sanamu langu la michellin utakufa na tai shingoniUngeona nyingi tu humu .me mpenzi mtazamaji na comment .ukubwa jalala tunakufa na tai zetu shingoni.hii ndio tofauti ya wahenga na wakizazi kipya
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mumy? Ndio maisha.