Antie hauna hata tafsida jamani[emoji85][emoji85][emoji85]Wa vingozi eeenh ukimpata auntie unipasie
Kumbe unajua sipajui?
Na uzuri gani shunie mm sanamu la michellin nimempita mpaka skyWazuri utawajua tu...hata kusalimia hawataki.
Sema kweli
Superstar moyo ninayo....nirushie basi nione kama nitaleta uziWaaachaaa
Superstar utaleta bandiko huku ujue
Hahhaha kwakweli tafsida sina ukipata wa kingozi na mm unipasie tu kizuri kula na auntie yakoAntie hauna hata tafsida jamani[emoji85][emoji85][emoji85]
Vipiii tena jamani
Tungeshazipata taarifa...siunaonaNa uzuri gani shunie mm sanamu la michellin nimempita mpaka sky
Ndiyo uwe mpole sasa....
@daby please do the needfull.Hahhaha kwakweli tafsida sina ukipata wa kingozi na mm unipasie tu kizuri kula na auntie yako
Enheee wewe uliambiwa unafanana na sanamu la nan?Vipiii tena jamani
Mnatafuta kingozi cha kulalia ama?@daby please do the needfull.
Usimtishe auntie yangu. Huna lolote.