Enzi upo skuli tabia yako ilikua ipi?

Enzi upo skuli tabia yako ilikua ipi?

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Mi mtoro na hii tabia ipo hadi leo kazini[emoji41][emoji41]

Yaani bonge la doja
FB_IMG_1621492463029.jpg
 
Mchoraji, niliwachora wadada tattoo sana kwenye mapaja yao na sehem nyingine.

Nunda, me na gang langu tulikua tunaogopeka balaa.

Back bencher, ndo yalikua makao yangu.

Mtoro, nimetoroka sana shule asee
 
Mchoraji, niliwachora wadada tattoo sana kwenye mapaja yao na sehem nyingine.

Nunda, me na gang langu tulikua tunaogopeka balaa.

Back bencher, ndo yalikua makao yangu.

Mtoro, nimetoroka sana shule asee
Duh yaani una sifa zoote hizo??
 
Duh yaani una sifa zoote hizo??
mimi zilikuwa zinabadiika
primary.. nilikua kwanza mtundu , mpenda soka halafu joni kisomo sana
secondary ....mtundu, joni kisomo, kwa mbaali nikaanza mapenzi
advance,, joni kisomo, nunda back bencher , nilikua mgumu kwa hiyo mapenzi niliweka kando maana ilikua uboyzin
chuo.,joni kisomo, mapenzi , back benchers, utoro
 
Sikumbuki lini sijaandikwa kama msumbufu primary, ila maisha yanabadilika sana nowdays nmekuwa mtulivu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28] true definition of evolution [emoji1316][emoji1316]
 
Sikumbuki lini sijaandikwa kama msumbufu primary, ila maisha yanabadilika sana nowdays nmekuwa mtulivu.
Kuna siku sijaenda shule eti Kesho yake monita anasoma wapiga kelele wa jana na mie nipo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Kumbe alishanikaririgi
 
Umewasahau watu wa mastori na mapicha ya Anord na Damme.

Hawa walikuwa wanakusanya kujiji na kutoa simulizi ila nyingi zinaishia njiani au kuisha mpaka mmbembeleze kwa kumnunulia icecream.
 
Umewasahau watu wa mastori na mapicha ya Anord na Damme.

Hawa walikuwa wanakusanya kujiji na kutoa simulizi ila nyingi zinaishia njiani au kuisha mpaka mmbembeleze kwa kumnunulia icecream.
Kuna jamaa anakusimulia picha ambayo umeiangalia ila unaona kama mpya kwako, jamaa wanakuwana na kipaji cha kudanganya mno
 
Bila shaka uliitendea haki fani yako mzee wa Kilinge
 
Back
Top Bottom