EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Mi mtoro na hii tabia ipo hadi leo kazini[emoji41][emoji41]
Yaani bonge la doja
Yaani bonge la doja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh yaani una sifa zoote hizo??Mchoraji, niliwachora wadada tattoo sana kwenye mapaja yao na sehem nyingine.
Nunda, me na gang langu tulikua tunaogopeka balaa.
Back bencher, ndo yalikua makao yangu.
Mtoro, nimetoroka sana shule asee
mimi zilikuwa zinabadiikaDuh yaani una sifa zoote hizo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28] true definition of evolution [emoji1316][emoji1316]mimi zilikuwa zinabadiika
primary.. nilikua kwanza mtundu , mpenda soka halafu joni kisomo sana
secondary ....mtundu, joni kisomo, kwa mbaali nikaanza mapenzi
advance,, joni kisomo, nunda back bencher , nilikua mgumu kwa hiyo mapenzi niliweka kando maana ilikua uboyzin
chuo.,joni kisomo, mapenzi , back benchers, utoro
Kuna siku sijaenda shule eti Kesho yake monita anasoma wapiga kelele wa jana na mie nipo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Sikumbuki lini sijaandikwa kama msumbufu primary, ila maisha yanabadilika sana nowdays nmekuwa mtulivu.
Kabisa mkuuKwa hiyo sisi ambao hatukwenda kabisa Skuli hii thd haituhusu?
Joni kisomo....Mi mtoro na hii tabia ipo hadi leo kazini[emoji41][emoji41]
Yaani bonge la dojaView attachment 1791471
Sijaona fani yangu hapo..nilikuwa bingwa wa mazingaombwe na viini macho na uloziMi mtoro na hii tabia ipo hadi leo kazini[emoji41][emoji41]
Yaani bonge la dojaView attachment 1791471
Bila shaka uliitendea haki fani yako mzee wa KilingeSijaona fani yangu hapo..nilikuwa bingwa wa mazingaombwe na viini macho na ulozi
Kuna jamaa anakusimulia picha ambayo umeiangalia ila unaona kama mpya kwako, jamaa wanakuwana na kipaji cha kudanganya mnoUmewasahau watu wa mastori na mapicha ya Anord na Damme.
Hawa walikuwa wanakusanya kujiji na kutoa simulizi ila nyingi zinaishia njiani au kuisha mpaka mmbembeleze kwa kumnunulia icecream.
Bila shaka uliitendea haki fani yako mzee wa Kilinge
ha ha ha noma wao kila picha wameionaUmewasahau watu wa mastori na mapicha ya Anord na Damme.
Hawa walikuwa wanakusanya kujiji na kutoa simulizi ila nyingi zinaishia njiani au kuisha mpaka mmbembeleze kwa kumnunulia icecream.
Pale kilimanjaro boys ile haikuwa shule