Enzi upo skuli tabia yako ilikua ipi?

Enzi upo skuli tabia yako ilikua ipi?

mimi zilikuwa zinabadiika
primary.. nilikua kwanza mtundu , mpenda soka halafu joni kisomo sana
secondary ....mtundu, joni kisomo, kwa mbaali nikaanza mapenzi
advance,, joni kisomo, nunda back bencher , nilikua mgumu kwa hiyo mapenzi niliweka kando maana ilikua uboyzin
chuo.,joni kisomo, mapenzi , back benchers, utoro
Baada ya chuo kazini umebakiwa na sifa gani? Nunda na utoro?😀
 
Back
Top Bottom