Enzi wako moto: Fid Q v/s Chidi nani alikuwa mkali?

Enzi wako moto: Fid Q v/s Chidi nani alikuwa mkali?

Yap ni kweli chidbeenz anapita kwenyeckila mdundo kuna ngoma mpya ya singeli ya manifongo kashirikishwa humo ni hatari....wala hata hakuandika naskia alipiga freestyle tu.
Ilalaaaaaaaaa...inauma
 
Chid Benz mkali wa flows, Fid sikuwahi mpendaga.
 
Chid Flow ni noma ila Ngosha anaandika Kiswahili fasaha na ana punch lines though muda mwingine anazitoa kwenye vitabu vya Malenga wetu, Sikiliza wimbo wa Hao wa Mwasiti au Bongofleva aliomshirikisha Mzee Yusuph
 
Chid hajawahi kuwa na mpinzani kwenye kuchana freestyle hizi mpk kesho
Nngwea alikuwemo ila akangwea😁
Simjui yoyote aliyekuja zaidi ya yule dogo wa dipplowmatiz naae alikua mbayaa sana enzi zake, kwa freestyle
 
Chid Flow ni noma ila Ngosha anaandika Kiswahili fasaha na ana punch lines though muda mwingine anazitoa kwenye vitabu vya Malenga wetu, Sikiliza wimbo wa Hao wa Mwasiti au Bongofleva aliomshirikisha Mzee Yusuph
Mwambie akabidhu hayo mambi kwa teja wetu wa taifa
 
Back
Top Bottom