Enzi za Digitali - Hotuba kwenye makaratasi?

Enzi za Digitali - Hotuba kwenye makaratasi?

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Inasikitisha sana Viongozi wetu bado wanapambana na mafurushi ya makaratasi katika kusoma Hotuba, hata kubadilishana taarifa (Mawasiliano serikalin). Zama za digitali. Vishkwambi mbona Bei rahisi tu?

images (35).jpeg
download (17).jpeg
 
Hiyo inakupa picha ni kwa jinsi gani viongozi wetu wanafikiri.

Nashangaa sana utumishi, wanataka mtu aende dodoma kuchukua barua ya kazi.

Like, whats wrong with you guys. Mtu kapangiwa kazi Mtwara, yeye yupo dar, lkn mnataka atoke dar aje dodoma just to pick a piss of paper? Karne hii ya 20?

Tuache kujitukana jaman 😏
 
Inasikitisha sana Viongozi wetu bado wanapambana na mafurushi ya makaratasi katika kusoma Hotuba, hata kubadilishana taarifa (Mawasiliano serikalin). Zama za digitali. Vishkwambi mbona Bei rahisi tu?
Omba tenda ya supply vishikwambi
 
Hiyo inakupa picha ni kwa jinsi gani viongozi wetu wanafikiri.

Nashangaa sana utumishi, wanataka mtu aende dodoma kuchukua barua ya kazi.

Like, whats wrong with you guys. Mtu kapangiwa kazi Mtwara, yeye yupo dar, lkn mnataka atoke dar aje dodoma just to pick a piss of paper? Karne hii ya 20?

Tuache kujitukana jaman 😏
Nyenyekea mpaka umauti, hewala sio utumwa, Yesu alikua na nguvu km Daudi au Samson alikua na uwezo wa kuwagonga mangumi wale waliompiga Misumali na kumuwamba kwenye mbao akiwa uchi bila hata kipande cha nguo Ila aliwaacha aliwaacha wampige, wamtukane, wamtemee mate, wamtoboetoboe alinyenyekea mapigo yote aliyopokea kwa unyenyekevu mpaka kifo na wewe wapungukiwa nini ukiwa mnyenyekevu?, uwe mnyenyekevu be humble Kendrick Lamar

#kaributuleskanka
-Boom, boom, it shook, The breeze rose to the mind.
 
Yaan uamuz wa dakika moja tu. Karatasi zingehamia archives huko
Kazi za watu hizo makaratasi hata mbele pamoja digital analogy bado inatumika huku tu kwa sababu ya mawazo ya kisengesenge call box za TTCL tukazing'oa wakati ukienda mambele mpaka leo bado zipo mistimu ya TTCL yote ikageuzwa kuni za Wamama wauza Samaki wanauziwa Waya zinauzwa kwa mafundi wa Vifaa vya electronic, sasa hivi tulichobakiza Simu za Mkononi analogy ya Simu za mezani hakuna tena watu kibao wakapoteza kazi, sasa na hii ya records hii makaratasi kutunza mafaili kwenye shelves kwenye maboksi masijala mpaka mambele wanafanya kutunza record's hii watu ndio wanapopatia Ugali wao wa kila siku hii ndio njia ngumu kuifikia kuliko digital ni analogy Mawasiliano yakiwa analogy hata kudukua sio rahisi hapo ukifuta lundo la Vijana watapoteza kazi na kurudi mtaani sijui unaelewa?

#kaributuleskanka
-end-of-beginning
 
Ukiambiwa nyuma geuka,ni yale wa kwanza atakua wa mwisho.
Funny moment ni pale mama chura anapopekua yale makaratasi akisoma hotuba.
Old is Gold, Ardhi ni ya zamani yenye thamani ya Juu sisi tunaona haina thamani sababu ni ya zamani Ila ndio inayowanufaisha foreigners wanaokuja km Wawekezaji

#kaributuleskanka akili yako isilale
 
Old is Gold, Ardhi ni ya zamani yenye thamani ya Juu sisi tunaona haina thamani sababu ni ya zamani Ila ndio inayowanufaisha foreigners wanaokuja km Wawekezaji

#kaributuleskanka akili yako isilale
Hao wawekezaji wanafanya kusudi tu kuleta mkataba una kurasa 300-500.
Wanajua husomi zaidi ya kupiga signature.
Ukija shtuka kumbe kuna mahali wameweka kipengele miaka 100 umekodisha.
Ndo hapo unajua kumbe hakusoma.
Mikataba 35 ilisainiwa Dubai.
Tunashtuka wamasai wanaandamana.
 
Unaweza Wewe kusoma kurasa 500 kwa nusu saa utaelewa kila bombastic language + Bomboclaat language waliyoitumia hao foreigners wanaokuja kujizolea utajiri ulionao na hauwezi kuutumia?

#kaributuleskanka
-before toilet paper was popular.
 
Magufuli alisoma kila mkataba kwa nukta.
Ndio maana alikurupua uozo mwingi tu.
We kula skanka,toilet papper was not popular before.
 
Back
Top Bottom