johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Baada ya kuondoka Zito na Dr Slaa waliobakia ni weupe kichwani hawajui uchumi Wala hoja za kiuchumi na hawana uwezo wa kuzichambua,kazi wanayoweza Sasa ni kubwabwaja Kwa kutegemea matukio na kulalamika.Pata Picha Dr Slaa ambaye hajapanda Jukwaani kuwahutubia wananchi kwa miaka 7 Hotuba yake pale Furahisha ingekuwaje...
Leo hii tungekuwa tuna jadili Singa singa pesa zake zimetumikaje na zingine tuta zipataje, mkataba wa TANESCO na wahindi , mkataba wa Bandari , Mikopo, Treni used, Tatizo la umeme, nyongeza ya mishahara kwa watumishi, Rais akijisikia anataka kwenda Marekani kunywa chai, waarabu kuchukua Wanyama pori, Wamasai kufukuzwa na Waarabu .Pata Picha Dr Slaa ambaye hajapanda Jukwaani kuwahutubia wananchi kwa miaka 7 Hotuba yake pale Furahisha ingekuwaje
Lakimi leo mjadala mkubwa ni askari polisi Kupiga Picha na mwananchi wa kawaida mkutanoni
Mungu wa mbinguni awabariki Chadema!
Hoja nyingi mpaka basiLeo hii tungekuwa tuna jadili Singa singa pesa zake zimetumikaje na zingine tuta zipataje, mkataba wa TANESCO na wahindi , mkataba wa Bandari , Mikopo, Treni used, Tatizo la umeme, nyongeza ya mishahara kwa watumishi, Rais akijisikia anataka kwenda Marekani kunywa chai, waarabu kuchukua Wanyama pori, Wamasai kufukuzwa na Waarabu .
Ogopa sana asali ,mwingine kalipwa malimbikizo,fidia,mishahara na malupulupu kibao na mwingine kalipwa pesa ya usumbufu na manunuzi ya hisa 60%ya SACCOS Yao na chama cha chukua chako mapema.Pata Picha Dr Slaa ambaye hajapanda Jukwaani kuwahutubia wananchi kwa miaka 7 Hotuba yake pale Furahisha ingekuwaje
Lakimi leo mjadala mkubwa ni askari polisi Kupiga Picha na mwananchi wa kawaida mkutanoni
Mungu wa mbinguni awabariki Chadema!
Mfuate huko CcmPata Picha Dr Slaa ambaye hajapanda Jukwaani kuwahutubia wananchi kwa miaka 7 Hotuba yake pale Furahisha ingekuwaje
Lakimi leo mjadala mkubwa ni askari polisi Kupiga Picha na mwananchi wa kawaida mkutanoni
Mungu wa mbinguni awabariki Chadema!
Mbowe keshamfataMfuate huko Ccm
Nyuki wa mashineni kwa maana angati😂I you can't beat them, join them, hata Lissu wa enzi ya JPM sio huyu, Lissu wa Sasa ni nyuki wa mashineni
Walimchukia Magufuli kwasababu alikuwa hawapi pesa na walikuwa hawapati pesa za bure bure ndiyo maana Zitto kabwe anamchukia Magufuli mpaka mwisho wa Dunia.I you can't beat them, join them, hata Lissu wa enzi ya JPM sio huyu, Lissu wa Sasa ni nyuki wa mashineni
Msigwa alipiwa faini na JPM, Mbowe alipwa mashamba yake kuharibiwa!Pata Picha Dr Slaa ambaye hajapanda Jukwaani kuwahutubia wananchi kwa miaka 7 Hotuba yake pale Furahisha ingekuwaje
Lakimi leo mjadala mkubwa ni askari polisi Kupiga Picha na mwananchi wa kawaida mkutanoni
Mungu wa mbinguni awabariki Chadema!
Pata Picha Dr Slaa ambaye hajapanda Jukwaani kuwahutubia wananchi kwa miaka 7 Hotuba yake pale Furahisha ingekuwaje
Lakimi leo mjadala mkubwa ni askari polisi Kupiga Picha na mwananchi wa kawaida mkutanoni
Mungu wa mbinguni awabariki Chadema!
Akikusikia TAL atakucheka sanaKwani la picha ya polisi dogo ndugu? Kwani wako wapi kina Ben Azory Lijenje au kina Mawazo? Au kingai anasema je kuhusu Lissu?
Kumbuka polisi yule ana symbolize mwisho wa siasa za chuki za bwana yule zilizotuachia makovu ya kudumu.
Kumbe uelewa wako mdogo kiasi hiki!Pata Picha Dr Slaa ambaye hajapanda Jukwaani kuwahutubia wananchi kwa miaka 7 Hotuba yake pale Furahisha ingekuwaje
Lakimi leo mjadala mkubwa ni askari polisi Kupiga Picha na mwananchi wa kawaida mkutanoni
Mungu wa mbinguni awabariki Chadema!
Wewe ndio mbwigaKumbe uelewa wako mdogo kiasi hiki!
Kwa taarifa yako Mwanza na kanda ya ziwa walikwenda kuzindua mfululizo wa mikutano ya hadhara inayofuata baada ya shetani Magufuli kuzuia kinyume na katiba ya nchi, sasa mikutano ijayo itakuwa ya kueleza sera za CHADEMA na kukosoa sera na mipango mibovu ya serikali ya CCM.
Kumbe una akili za panzi! Kwani shetani Magufuli alikuwa anajua sheria wala katiba, si alikuwa anatumia polisi ambao wote ni division 0 wanafanya kazi kwa amri tu!Wewe ndio mbwiga
Ilifungwa kwa sheria gani ?
Mbona Zitto Kabwe na ACT wazalendo walikuwa wanafanya mikutano ya hadhara kama kawaida
Kimchekeshe kitu gani? Kwa furaha ipi wakati kina Ben Azory Lijenje na wengi wengine wakiwa hawajulikani walipo?Akikusikia TAL atakucheka sana
Kwani huyu wa sasa anaye walambisha asali anajua sheria na katiba? Kama anajua sheria kwanini ana ropoka Waliogushi vyeti walipwe, wadaiwa wa kodi za wanchi TRA waache kuwadai na kwanini ana ruhusu wanyama pori kusafirishwa wakati sheria inakataza?Kumbe una akili za panzi! Kwani shetani Magufuli alikuwa anajua sheria wala katiba, si alikuwa anatumia polisi ambao wote ni division 0 wanafanya kazi kwa amri tu!