saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
we umeota au alikuhutubia wewe mwenyewe sehemu flaniI you can't beat them, join them, hata Lissu wa enzi ya JPM sio huyu, Lissu wa Sasa ni nyuki wa mashineni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we umeota au alikuhutubia wewe mwenyewe sehemu flaniI you can't beat them, join them, hata Lissu wa enzi ya JPM sio huyu, Lissu wa Sasa ni nyuki wa mashineni
Nilitegemea aendeleze harakati zake lkn baada ya kuukwaa ubalozi akatulia kama ananyolewa zivu!!Pata Picha Dkt. Slaa ambaye hajapanda Jukwaani kuwahutubia wananchi kwa miaka 7 Hotuba yake pale Furahisha ingekuwaje
Lakini leo mjadala mkubwa ni askari polisi Kupiga Picha na mwananchi wa kawaida mkutanoni
Mungu wa mbinguni awabariki CHADEMA!
Umegonga pa kweli, mtu km mbowe anaweza kutoa hoja ktk eneo lipi la kitalaam? lini ulimsikia? Kazi yake kudandia matukio, bei ya vitu imepanda unaebda kulalamika uwanjani mi ningetegemea kusikia ingelikuwa wao wako madarakani wangefanya nini bei isipande ambacho CCM wameshindwa kufanya. Sasa unaenda kubwabwaja tu. Unazungumzia habari ya miaka 61 ya uhuru unalamika kiwango cha maendeleo, kuna benchmark gani ingetumika kufika tulikotakiwa kuwa maana kiukweli yamefanyika maendeleo makubwa sana labda vitoto ndio hhavijui. Wao CHADEMA wana miaka 30 nusu ya miaka ya uhuru wamefanya nini ku-demonstrate kwa kiwango cha chama km wabunifu, wameshindwa kujenga hata ofisi moja tu.Baada ya kuondoka Zito na Dr Slaa waliobakia ni weupe kichwani hawajui uchumi Wala hoja za kiuchumi na hawana uwezo wa kuzichambua,kazi wanayoweza Sasa ni kubwabwaja Kwa kutegemea matukio na kulalamika.
we unaelewa maana ya sera? tueleze siku zote 2 sera zipi wamezielezea, katiba mpya? tume ya uchaguzi? watu wanafikiria uchaguzi tu wewe unazungumzia sera. nenda shule ufundishwe maana ya seraKumbe uelewa wako mdogo kiasi hiki!
Kwa taarifa yako Mwanza na kanda ya ziwa walikwenda kuzindua mfululizo wa mikutano ya hadhara inayofuata baada ya shetani Magufuli kuzuia kinyume na katiba ya nchi, sasa mikutano ijayo itakuwa ya kueleza sera za CHADEMA na kukosoa sera na mipango mibovu ya serikali ya CCM.
Sasa huyu pia ni tapeli na fisadi lakini anatumia mbinu kuwapoza wapinzanu wasimuwakie zaidi! Muda bado upo maovu yake na serikali anayo iongoza yatafichuliwa kadri muda unavyopita.Kwani huyu wa sasa anaye walambisha asali anajua sheria na katiba? Kama anajua sheria kwanini ana ropoka Waliogushi vyeti walipwe, wadaiwa wa kodi za wanchi TRA waache kuwadai na kwanini ana ruhusu wanyama pori kusafirishwa wakati sheria inakataza? Kama kweli huyu mama anafaa sheria za nchi na katiba kwanini ana wambia DDP awaachie huru matajari na Raia wakigeni tu ila kwa wananchi wa kawaida DDP hasiwaachi huru? , Na kwanini ana choma moto biashara za wananchi wadogo na masoko lakini aendi kuchoma moto Mall kubwa kubwa?
Ndio maana pamoja na upigaji mwingi unaoendelea huku na huko Serikalini lakini wananchi wanaona ni heri hao kuliko hawa wachumia matumbo wanaojiita wapinzani. Yani hawa watalitumbukiza taifa kwenye rainbow kabisa.Vigeugeu na ndumilakuwili wa kubwa.Ogopa sana asali ,mwingine kalipwa malimbikizo,fidia,mishahara na malupulupu kibao na mwingine kalipwa pesa ya usumbufu na manunuzi ya hisa 60%ya SACCOS Yao na chama cha chukua chako mapema.
Mushumbush kaletaga balaaa!Pata Picha Dkt. Slaa ambaye hajapanda Jukwaani kuwahutubia wananchi kwa miaka 7 Hotuba yake pale Furahisha ingekuwaje
Lakini leo mjadala mkubwa ni askari polisi Kupiga Picha na mwananchi wa kawaida mkutanoni
Mungu wa mbinguni awabariki CHADEMA!
Wewe huna uwezo wa kuishi bila kulamba viatu viatu vya mabwana zako! Chawa mkubwa hata kununua bando huna uwezo zaidi ya kuomba fadhila!Ndio maana pamoja na upigaji mwingi unaoendelea huku na huko Serikalini lakini wananchi wanaona ni heri hao kuliko hawa wachumia matumbo wanaojiita wapinzani. Yani hawa watalitumbukiza taifa kwenye rainbow kabisa.Vigeugeu na ndumilakuwili wa kubwa.
Wafuasi wa marehemu tu nyieKwani huyu wa sasa anaye walambisha asali anajua sheria na katiba? Kama anajua sheria kwanini ana ropoka Waliogushi vyeti walipwe, wadaiwa wa kodi za wanchi TRA waache kuwadai na kwanini ana ruhusu wanyama pori kusafirishwa wakati sheria inakataza?
Kama kweli huyu mama anafaa sheria za nchi na katiba kwanini ana wambia DDP awaachie huru matajari na Raia wakigeni tu ila kwa wananchi wa kawaida DDP hasiwaachi huru?
Na kwanini ana choma moto biashara za wananchi wadogo na masoko lakini aendi kuchoma moto Mall kubwa kubwa?