Enzi za Dkt. Slaa tungekuwa tunajadili hoja nzito za CHADEMA badala ya kubishana

Pata Picha Dkt. Slaa ambaye hajapanda Jukwaani kuwahutubia wananchi kwa miaka 7 Hotuba yake pale Furahisha ingekuwaje

Lakini leo mjadala mkubwa ni askari polisi Kupiga Picha na mwananchi wa kawaida mkutanoni

Mungu wa mbinguni awabariki CHADEMA!
Nilitegemea aendeleze harakati zake lkn baada ya kuukwaa ubalozi akatulia kama ananyolewa zivu!!
 
Baada ya kuondoka Zito na Dr Slaa waliobakia ni weupe kichwani hawajui uchumi Wala hoja za kiuchumi na hawana uwezo wa kuzichambua,kazi wanayoweza Sasa ni kubwabwaja Kwa kutegemea matukio na kulalamika.
Umegonga pa kweli, mtu km mbowe anaweza kutoa hoja ktk eneo lipi la kitalaam? lini ulimsikia? Kazi yake kudandia matukio, bei ya vitu imepanda unaebda kulalamika uwanjani mi ningetegemea kusikia ingelikuwa wao wako madarakani wangefanya nini bei isipande ambacho CCM wameshindwa kufanya. Sasa unaenda kubwabwaja tu. Unazungumzia habari ya miaka 61 ya uhuru unalamika kiwango cha maendeleo, kuna benchmark gani ingetumika kufika tulikotakiwa kuwa maana kiukweli yamefanyika maendeleo makubwa sana labda vitoto ndio hhavijui. Wao CHADEMA wana miaka 30 nusu ya miaka ya uhuru wamefanya nini ku-demonstrate kwa kiwango cha chama km wabunifu, wameshindwa kujenga hata ofisi moja tu.

Kusema ukweli kuwasikiliza chadema unahitaji moyo mgumu, ni jamaa walalamishi, wazushi, waongo km moja aliyekuwa anajiita mbinge wa Musoma, mi nilifikiri alichanganyikiwa. Km anajua alishinda kwanini hakujiapisha km Raila Odinda basi. Tuseme chadema ishindishe ktkt sura zile nani anastahili kuwa hata naibu waziri acha nafasi zingine wale wameathirika hata kisaikolojia. Uwape nchi ujaribu mpaka washibe sijui lini halafu wale hawatoki tena madarakani ila kwa mtutu wa bunduki, Mbowe amewaondoa wangapi chadema kisa uenyekiti eti leo anazungumzia demokrasia mi simuelewi kwanini hata haoni aibu
 
we unaelewa maana ya sera? tueleze siku zote 2 sera zipi wamezielezea, katiba mpya? tume ya uchaguzi? watu wanafikiria uchaguzi tu wewe unazungumzia sera. nenda shule ufundishwe maana ya sera
 
Sasa huyu pia ni tapeli na fisadi lakini anatumia mbinu kuwapoza wapinzanu wasimuwakie zaidi! Muda bado upo maovu yake na serikali anayo iongoza yatafichuliwa kadri muda unavyopita.
 
Ogopa sana asali ,mwingine kalipwa malimbikizo,fidia,mishahara na malupulupu kibao na mwingine kalipwa pesa ya usumbufu na manunuzi ya hisa 60%ya SACCOS Yao na chama cha chukua chako mapema.
Ndio maana pamoja na upigaji mwingi unaoendelea huku na huko Serikalini lakini wananchi wanaona ni heri hao kuliko hawa wachumia matumbo wanaojiita wapinzani. Yani hawa watalitumbukiza taifa kwenye rainbow kabisa.Vigeugeu na ndumilakuwili wa kubwa.
 
Pata Picha Dkt. Slaa ambaye hajapanda Jukwaani kuwahutubia wananchi kwa miaka 7 Hotuba yake pale Furahisha ingekuwaje

Lakini leo mjadala mkubwa ni askari polisi Kupiga Picha na mwananchi wa kawaida mkutanoni

Mungu wa mbinguni awabariki CHADEMA!
Mushumbush kaletaga balaaa!
 
Ndio maana pamoja na upigaji mwingi unaoendelea huku na huko Serikalini lakini wananchi wanaona ni heri hao kuliko hawa wachumia matumbo wanaojiita wapinzani. Yani hawa watalitumbukiza taifa kwenye rainbow kabisa.Vigeugeu na ndumilakuwili wa kubwa.
Wewe huna uwezo wa kuishi bila kulamba viatu viatu vya mabwana zako! Chawa mkubwa hata kununua bando huna uwezo zaidi ya kuomba fadhila!

Shithole!
 
Wafuasi wa marehemu tu nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…