Enzi za Hayati Magufuli Wafanyabiashara wasingejaribu kugoma. Imekuwaje leo?

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Enzi za uhai wake angesema.....Hiiiiii!

Maweee!

Yaani enzi za Jembe unajaribu kutingisha Sharubu za Mfalme? Ungejuta.

Wafanya biashara waache dharau wao sio muhimu sana kuzidi makundi mengine ya wananchi.

Lazima wakubali kufata sheria za nchi na walipe kodi kama ambavyo wengine anafanya.

Mbona enzi za Dr Magufuli pamoja na Task Force nyingi zilizokuwepo hawakujaribu kuchezea uchumi wa nchi?

Uhuru uliopo wasiotumie vibaya wakajikuta wana jeorpadize Ustawi wa Biashara Nchini.

PIA SOMA
- Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024

- MGOMO: Wafanyabiashara Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia 24/6/2024 mpaka changamoto zao zitakapotatuliwa'
 
Yule mwamba alikuwa mtu wa haki wengi hawakumuelewa wanaanza kumuelewa sasa hivi! Wafanyabiashara walikuwa na hali na mori wa kulipa kodi kuliko wakati wowote! Hakuna mfanyabiashara alikuwa anakwepakodi! Walikuwa wanapeleka wenyewe na TRA ilikuwa inalipisha kodi stahiki na sio kanjanja kama sasa hivi Bi-kidawa kuruhusu watu wale kadri ya urefu wa kamba zao ndo mnavyoona wanapiga mpaka kukomoa
 
Vipi kuhusu Task force? Mori gani?
 
Enzi za uhai wake angesema.....Hiiiiii!
Maweee!

Yaani enzi za Jembe unajaribu kutingisha Sharubu za Mfalme? Ungejuta.

Wafanya biashara waache dharau wao sio muhimu sana kuzidi makundi mengine ya wananchi.

Lazima wakubali kufata sheria za nchi na walipe kodi kama ambavyo wengine anafanya.

Mbona enzi za Dr Magufuli pamoja na Task Force nyingi zilizokuwepo hawakujaribu kuchezea uchumi wa nchi?

Uhuru uliopo wasiotumie vibaya wakajikuta wana jeorpadize Ustawi wa Biashara Nchini.
Yule mwamba alikuwa mtu wa haki wengi hawakumuelewa wanaanza kumuelewa sasa hivi! Wafanyabiashara walikuwa na hali na mori wa kulipa kodi kuliko wakati wowote! Hakuna mfanyabiashara alikuwa anakwepakodi! Walikuwa wanapeleka wenyewe na TRA ilikuwa inalipisha kodi stahiki na sio kanjanja kama sasa hivi Bi-kidawa kuruhusu watu wale kadri ya urefu wa kamba zao ndo mnavyoona wanapiga mpaka kukomoa
Kipindi cha Magu hata hao wa kugoma walikua hawapo Biashara zilikufa kufa nyingi tu watu wakakimbia biashara. Mimi nilianza biashara wakati huo fremu ulikua unachagua tu kibao zimefungwa.
 
Enzi za uhai wake angesema.....Hiiiiii!
Maweee!

Yaani enzi za Jembe unajaribu kutingisha Sharubu za Mfalme? Ungejuta.

Wafanya biashara waache dharau wao sio muhimu sana kuzidi makundi mengine ya wananchi.

Lazima wakubali kufata sheria za nchi na walipe kodi kama ambavyo wengine anafanya.

Mbona enzi za Dr Magufuli pamoja na Task Force nyingi zilizokuwepo hawakujaribu kuchezea uchumi wa nchi?

Uhuru uliopo wasiotumie vibaya wakajikuta wana jeorpadize Ustawi wa Biashara Nchini.
Nakumbuka kipindi cha magu ndo nilikua nimeingia town ndan ya miaka mitatu nikatoka kua chinga poa nikafungua frame nikaenda almashauri mwenyewe kukata leseni kwa matakwa yangu.

Yani kipindi chake kulikua na opt nyingi ndo maana ilikua ni ngumu mtu kugoma. Ukiona frame ngumu unakua chinga, ukiona uchinga umeuchoka unachukua zako frame.

Ila saivi nimefunga lile duka, maana watu kuanzia kata hadi ngazi za mkoa wanapishana kwenye kile kiframe kama siafu, juz nimeona baadhi watu wapo kwenye defender kisa service levy hii sikuwahi kuona kipindi cha uyo mnayemwita JIWE kwa wafanya biashara wa chini.
 
Hahaha kimeumana
 
hali kwa ground ni tete
 
Wachache sana wenye uelewa kama wako. Sasa hivi biashara halali xinakufa zinabaki za magendo. Wale walionyooka watafunga biashara kwasababu magendo mengi ukiuza kwa bei ya kiwandani huwezi toboa. Ni either ununue za magendo uuze in cheap au ufunge biashara. Kipindi cha Magufuli wale wafanyabiashara walionyooka ndo walio make zaidi na wapo imara sana. Ila wale wa magumashi walipoteana. So si kweli kuwa wengi walikimbia biashara. Ila wengi walikuwa wakwepa kodi na janja janja nyingi isiyo fuata misingi ya biashara lazima wapoteane. Na ndiyo maana enzi za mwendazake hukukuta watu wakigoma. Watoza kodi walitoza kodi halali hakuna kuoneana. Ndo maana ukimya ulikuwa mwingi. Ila sasa kubambikiana ni kwingi mno. Ndo maana wanagoma.
 
Back
Top Bottom