Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,463
Chalamila ana PhD ya kitu gani?Chalamila ana PhD wewe huna 😂😂
Ulale unono
Ndio wenye PhD wanavyoongea Kama alivyoongea kariakoo.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chalamila ana PhD ya kitu gani?Chalamila ana PhD wewe huna 😂😂
Ulale unono
Is this true?Wachache sana wenye uelewa kama wako. Sasa hivi biashara halali xinakufa zinabaki za magendo. Wale walionyooka watafunga biashara kwasababu magendo mengi ukiuza kwa bei ya kiwandani huwezi toboa. Ni either ununue za magendo uuze in cheap au ufunge biashara. Kipindi cha Magufuli wale wafanyabiashara walionyooka ndo walio make zaidi na wapo imara sana. Ila wale wa magumashi walipoteana. So si kweli kuwa wengi walikimbia biashara. Ila wengi walikuwa wakwepa kodi na janja janja nyingi isiyo fuata misingi ya biashara lazima wapoteane. Na ndiyo maana enzi za mwendazake hukukuta watu wakigoma. Watoza kodi walitoza kodi halali hakuna kuoneana. Ndo maana ukimya ulikuwa mwingi. Ila sasa kubambikiana ni kwingi mno. Ndo maana wanagoma.
HahahaChalamila ana PhD ya kitu gani?
Ndio wenye PhD wanavyoongea Kama alivyoongea kariakoo.?
Zinadumishwa Enzi za Mbowe tu zisizoisha! Ahahahahaha!!!Enzi ishapita imebaki stori
Ndiyo maana hilo Dubwasha la Chato lilikufa kwa DHULUMA zake na chuki dhidi ya matajiriEnzi za uhai wake angesema.....Hiiiiii!
Maweee!
Yaani enzi za Jembe unajaribu kutingisha Sharubu za Mfalme? Ungejuta.
Wafanya biashara waache dharau wao sio muhimu sana kuzidi makundi mengine ya wananchi.
Lazima wakubali kufata sheria za nchi na walipe kodi kama ambavyo wengine anafanya.
Mbona enzi za Dr Magufuli pamoja na Task Force nyingi zilizokuwepo hawakujaribu kuchezea uchumi wa nchi?
Uhuru uliopo wasiotumie vibaya wakajikuta wana jeorpadize Ustawi wa Biashara Nchini.
PIA SOMA
- Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024
- MGOMO: Wafanyabiashara Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia 24/6/2024 mpaka changamoto zao zitakapotatuliwa'
Kugoma ni haki ya kikatiba.Enzi za uhai wake angesema.....Hiiiiii!
Maweee!
Yaani enzi za Jembe unajaribu kutingisha Sharubu za Mfalme? Ungejuta.
Wafanya biashara waache dharau wao sio muhimu sana kuzidi makundi mengine ya wananchi.
Lazima wakubali kufata sheria za nchi na walipe kodi kama ambavyo wengine anafanya.
Mbona enzi za Dr Magufuli pamoja na Task Force nyingi zilizokuwepo hawakujaribu kuchezea uchumi wa nchi?
Uhuru uliopo wasiotumie vibaya wakajikuta wana jeorpadize Ustawi wa Biashara Nchini.
PIA SOMA
- Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024
- MGOMO: Wafanyabiashara Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia 24/6/2024 mpaka changamoto zao zitakapotatuliwa'
Mama anawabembeleza,ndio maana unaona anampa shida sana RC ChalamilaEnzi za uhai wake angesema.....Hiiiiii!
Maweee!
Yaani enzi za Jembe unajaribu kutingisha Sharubu za Mfalme? Ungejuta.
Wafanya biashara waache dharau wao sio muhimu sana kuzidi makundi mengine ya wananchi.
Lazima wakubali kufata sheria za nchi na walipe kodi kama ambavyo wengine anafanya.
Mbona enzi za Dr Magufuli pamoja na Task Force nyingi zilizokuwepo hawakujaribu kuchezea uchumi wa nchi?
Uhuru uliopo wasiotumie vibaya wakajikuta wana jeorpadize Ustawi wa Biashara Nchini.
PIA SOMA
- Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024
- MGOMO: Wafanyabiashara Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia 24/6/2024 mpaka changamoto zao zitakapotatuliwa'
Hapana siyo kweli , mabavu yalikuwa yanatumika enzi zile task force ilikuwa kila kitu ,tuwe wakweli tulishane matango poriYule mwamba alikuwa mtu wa haki wengi hawakumuelewa wanaanza kumuelewa sasa hivi! Wafanyabiashara walikuwa na hali na mori wa kulipa kodi kuliko wakati wowote! Hakuna mfanyabiashara alikuwa anakwepakodi! Walikuwa wanapeleka wenyewe na TRA ilikuwa inalipisha kodi stahiki na sio kanjanja kama sasa hivi Bi-kidawa kuruhusu watu wale kadri ya urefu wa kamba zao ndo mnavyoona wanapiga mpaka kukomoa
Mbona February 2016 waligoma hivihivi na Magufuli akiwepo?Enzi za uhai wake angesema.....Hiiiiii!
Maweee!
Yaani enzi za Jembe unajaribu kutingisha Sharubu za Mfalme? Ungejuta.
Wafanya biashara waache dharau wao sio muhimu sana kuzidi makundi mengine ya wananchi.
Lazima wakubali kufata sheria za nchi na walipe kodi kama ambavyo wengine anafanya.
Mbona enzi za Dr Magufuli pamoja na Task Force nyingi zilizokuwepo hawakujaribu kuchezea uchumi wa nchi?
Uhuru uliopo wasiotumie vibaya wakajikuta wana jeorpadize Ustawi wa Biashara Nchini.
PIA SOMA
- Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024
- MGOMO: Wafanyabiashara Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia 24/6/2024 mpaka changamoto zao zitakapotatuliwa'
Mbowe kafa lini?Zinadumishwa Enzi za Mbowe tu zisizoisha! Ahahahahaha!!!
Ahahahahaha! Kwahiyo kama hajafa anaendelea kuwa Kiongozi kama Ayatollah sio? Ahahahahaha!!!Mbowe kafa lini?
Acha uwongo, wafanyabiashara wengine walifilisika na wengine walikimbia nchi. Biashara ilizorota sana.Yule mwamba alikuwa mtu wa haki wengi hawakumuelewa wanaanza kumuelewa sasa hivi! Wafanyabiashara walikuwa na hali na mori wa kulipa kodi kuliko wakati wowote! Hakuna mfanyabiashara alikuwa anakwepakodi! Walikuwa wanapeleka wenyewe na TRA ilikuwa inalipisha kodi stahiki na sio kanjanja kama sasa hivi Bi-kidawa kuruhusu watu wale kadri ya urefu wa kamba zao ndo mnavyoona wanapiga mpaka kukomoa
Rais alikuwa bado hajateua mawaziri...baada ya hapo hakuna aliyekohoa.Mbona February 2016 waligoma hivihivi na Magufuli akiwepo?
HahahMbowe kafa lini?