Enzi za Hayati Magufuli Wafanyabiashara wasingejaribu kugoma. Imekuwaje leo?

Is this true?
 
Ndiyo maana hilo Dubwasha la Chato lilikufa kwa DHULUMA zake na chuki dhidi ya matajiri
 
Kugoma ni haki ya kikatiba.

Enzi za Magufuli haki nyingi za kikatiba zilivunjwa.
 
Nyie rukeni-rukeni ila ukwel ni kwamba jembe alitoka chato.πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Mama anawabembeleza,ndio maana unaona anampa shida sana RC Chalamila

Mama anajua kwamba wanaomtukana ni Kwa sababu ya kuchekea watu kama hao wakwepa Kodi.

Mtumishi wa Umma anakatwa Mamilioni ya Kodi na hana pa kukwepea harafu yeye anawachea hao wafanyabiashara,imeniudhi sana.πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/C8m0llftpj_/?igsh=cHlrN3U3YW15M2k0
 
Alivyokua mpenda sifa yule mzee angetimua maboss wengi sana ili jamii imuone ni mtu na nusu.

Usidhani yeye alikua haogopi migomo, wangegoma hamna kitu angeweza kufanya zaidi ya kubembeleza na kutoa chambo.
 
Hapana siyo kweli , mabavu yalikuwa yanatumika enzi zile task force ilikuwa kila kitu ,tuwe wakweli tulishane matango pori
Na ugomvi wao wa sasahivi ni kuhusu kuanza kwa task force
 
Mbona February 2016 waligoma hivihivi na Magufuli akiwepo?
 
Acha uwongo, wafanyabiashara wengine walifilisika na wengine walikimbia nchi. Biashara ilizorota sana.

Hakuna mfanyabiashara anayependa kulipa kodi ipasavyo ingawa siwalaumu Kwa hilo pengine wana sababu za msingi au ni ubinafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…