Enzi za Idd Amini zingekutana na John Magufuli Afrika Mashariki ingechangamka sana
Hawa wajomba wawili, wana sifa moja common ya kutokuwa na simile na mabwanyenye wa magharibi..
Laiti enzi za uongozi wao zingekutana kwa pamoja, naamini East Africa haingekuwa kama ilivyo sasa.
Shida kubwa waliyokumbana nayo wote wakati wanaongoza ni walikuwa hawakubaliki na nchi jirani wakati wa enzi zao.