exactly, historia yake ipo ivyo mkuu, nakumbuka mwinyi alishawai kumpa trekta sijui ili aachane na ujambazi ilisemekanaAloo, hata mimi nilipata kumsikia huyo jambazi.
Kuna habari moja nilipata kuhadithiwa kumuhusu yeye na matukio yake ya ujambazi, eti inasemwa alikuwa na uwezo wa ajabu, alikuwa anaweza kukimbizwa na watu au polisi na mara akiwaacha wanaomkimbiza na akapinda kona na hao wanaomkiza wakipinda kona basi huwamuoni yeye bali watamuona Bibi kizee anatembea taratibu tu na wanapomuuliza huyo Bibi kizee (wakidhani kwamba sio kitenga) huyo Bibi huwajibu; "ndio nimemuona mtu mmoja kanipita hapa mbio"---- kumbe ndiye yeye mwenyewe Kitenga, na hapo anakuwa kasalimika. Majambazi wanayo mauzauza mengi.🤣
Hujaelewa ninimkuu sijakuelewa!
exactly, historia yake ipo ivyo mkuu, nakumbuka mwinyi alishawai kumpa treka sijui ili aachane na ujambazi ilisemekana
hao wamasai walimuuaje? siku hiyo alishindwa kujibadirisha awe bibi kizee?Aliuwawa na wamasai kwenye bwawa
Kipagati... Daaaah alitisha sana Iringa enzi 1980esumenikumbusha Kipagati Iringa na nyau Tabora
Hiyo ghasia nakumbuka ilianzia kipindi stendi ya mabasi ya mikoani ilikuwa mjini kati karibu na hilo daraja walitaka kumpora mfanyabiashara aliyekuwa kwenye basi la abood,ambush na polisi ndo ikaanzia hapo..Kwenye daraja la shani cinema ukiwa unatoka town mkono wa kulia kuna mondo imepinda tulipo kua wadogo tulikua tunaenda kuangalia,wanasema lile tundu ni risasi,ilitakiwa apigwe kitenga,akarukia MTO Morogoro..Pia kuna ndanje
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkubwa wewe kwa sasa umeshapiga chini ujambazi