Enzi za Jambazi anaitwa "Kitenga" mkoani Morogoro, miaka ya 93

Enzi za Jambazi anaitwa "Kitenga" mkoani Morogoro, miaka ya 93

Kwenye daraja la shani cinema ukiwa unatoka town mkono wa kulia kuna mondo imepinda tulipo kua wadogo tulikua tunaenda kuangalia, wanasema lile tundu ni risasi,ilitakiwa apigwe kitenga, akarukia MTO Morogoro. Pia kuna ndanje
Daah umenikumbusha mbali sana
 
Kitenga aliuliwa na Wazee alaf wakamuweka Mbele pale kituo cha Polisi Moro huku aliyekuwa Mkuu wa Kituo hicho ambaye ni ASP Saddam alikuwa akitamba huku kashika Bomba Mkononi akisema huyo apo Kitenga asiyeyemjua amuone.
 
Ile alama ya Risasi darajani Shani ni ya zamani sana,Miaka ya 80's kipindi tunapita tunaenda Golf hiyo alama ipo,Siyo ya jana ile
 
Kupitia huu Uzi mkuu umenikumbusha pia Mbeya miaka ya 90 kulikuwa na jambazi hatari sana maarufu kama "JOMBI" sijui lilishia wapi.
 
Back
Top Bottom