Kwenye daraja la shani cinema ukiwa unatoka town mkono wa kulia kuna mondo imepinda tulipo kua wadogo tulikua tunaenda kuangalia, wanasema lile tundu ni risasi,ilitakiwa apigwe kitenga, akarukia MTO Morogoro. Pia kuna ndanje
Kitenga aliuliwa na Wazee alaf wakamuweka Mbele pale kituo cha Polisi Moro huku aliyekuwa Mkuu wa Kituo hicho ambaye ni ASP Saddam alikuwa akitamba huku kashika Bomba Mkononi akisema huyo apo Kitenga asiyeyemjua amuone.