Enzi za Jeffarah na Madam Shyrose Bhanji

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
6,739
Reaction score
32,880



Leo katika pitapita yangu nikakutana na mahaba motomoto ya enzi hizo ya Shyrose Bhanji na Mzee wa wateule Jaffarah,kabla huyu dada kujihifdhi kwa Mbunge Sugu,alikuwa na kijana wa kundi la Wateule.
Wakati umekwenda sasa,Jaffarah wala si Sugu wanaomiliki hii kitu.Hapo naona Jaffarah alikuwa bado anakula bata na Madam wakati huo yupo NMB.Leo katika kupita pita kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na hizi kumbukumbu
 
Keshakuwa mtu mzima sasa
 
Lah! huyo kulia kwa Shyrose mbona mshari hivyo,anaitwa nani vile tafadhari, manake muda umepita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…