barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,880
Leo katika pitapita yangu nikakutana na mahaba motomoto ya enzi hizo ya Shyrose Bhanji na Mzee wa wateule Jaffarah,kabla huyu dada kujihifdhi kwa Mbunge Sugu,alikuwa na kijana wa kundi la Wateule.
Wakati umekwenda sasa,Jaffarah wala si Sugu wanaomiliki hii kitu.Hapo naona Jaffarah alikuwa bado anakula bata na Madam wakati huo yupo NMB.Leo katika kupita pita kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na hizi kumbukumbu