Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,385
- 10,659
Nilikua nachungulia pale Goma takribani wiki nzima. Nilipotembelea huko last year kwa mishe zangu, palikua pamekaa kimachale machale. Yaani unawaonea raia huruma mpk unatamani uuze hadi viatu uwaachie tu! Wacongo ni watu peace sana...wanatia huruma!
Kipindi cha JK hawa watz walikinukisha balaa. M23 walijaribu kila mbinu ila walichezea kichapo tata mpk wakakimbilia kwa bwana wao PK kujipoza na majeraha na kuzika fallen labels.
Sasa imekuwa ni kawaida Lebels kuvamia kambi za SADC na kuua askari, then wanajitetea kdg ila soon M23 wanarudi na kupora ardhi kama wanapigana na mgambo. What happened? Ok wana support ya West, lakini ndo tukae kinyonge?
Comeon brothers, hawa waasi wasitudharirishe.