nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Naam katika safari hukosi mwanamke hasa mweupe kiti cha kushoto kwa ajili ya service barabarani,,,manake nyama za oda mara kadhaa hugonganisha magari,
Basi kutokana na hali ya tamaa nagharama za maisha kujikimu na kadhalika wa kadha mileage huwa haitoshi na kwa sababu unaendesha buyu basi akili ku mkichwa,manake hakuna nafasi ya kubeba vipeto n,k,
Wakati huo simu za mkonnoni ndio zinaingia...sasa nini kifanyike? ni mawasiliano namna ya kukamua kibuyu.
Basi siku ya siku mzee mzima ninapiga shimo kufika maeneo ya igunga jamaa mshushaji akaniambia kula chumba,Mie bila hiana nikakamua chiumba kizima nikaweka tank la tumboni na mengine nikayabwenga.
basi nafika maeneo ya nzega kumbe mabosi pamoja na maaskari wamejaa eneo la kushushia wakiwa na uhakika kwamba muungwana nishapiga pofo..duuuh jamaa wakanipandia hewani kwamba mwanaee huku disco limeshaingia wamasai....mie pale pale nikaelewa kwamba kuna mchawi aliona lile zoezi akapiga simu eneo la kushushia....basi nikaunganisha paipu toka tumboni kurudisha mgongoni na wakati huo huo nimeweka paipu nyingine ya kompressa inapuliza upepo tangi la tumboni....MUngu saidia wese lote likarudi mgongoni..sasa diesel ni kama uchawi siku hiyo kulikuwa na jua kali...kuweka dip stik wese lipo tuti yaani mpaka yake niliyobwenga...yalijifuta ....n.b wakati huo tulikuwa tunazidishiwa mafuta kidogo kwa ajili ya ubovu wa barabara na misuko suko tukiamini kutakuwa na upotevu kadhaa....
Mwanaume nikaingia kwa mbwembwe na vibuyu vya kutosha eneo la kushushia..tukakuta pamejaa mapolisi na virungu pamoja na pingu...manake yule mwanga aliyewapigia simu aliwahakikishia kabisa kwamba buyu limekamuliwa sema tu enzi hizo hakuna whatsapp....basi jamaa mameneja na wapambe wazungu na ofisi yote wamejaa bila utulivu wameshapanda juu wamefungua sili wametumbukiza stiki vyumba vyote vimejaa...doooh jamaa wakasema huu ni ucha wi wakasema gari iende mizani....wakafanya hesabu zao...wakaona duuuh wakaamua kupima tank zao ...kisha wakashusha wese wakakuta kunda ziada ya lita 800..
AMA KWELI DIESEL INA UCHAWI NDANI YAKE HASA KAMA KUNA MTU ANAKUWANGIA ATAUMBUKA MCHANA KWEUPE...
...LUGHA YA MAFUMBO NAHAU TAFSIDA PIA VIPERA VIMETUMIKA.
SOMENI...