Tulia Ackson: Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameitaka Serikali kuanza kuchukua hatua wanaopotosha kwa kinachoendelea Ngorongoro zikiwemo taasisi, "Sisi wabunge tunafahamu na wananchi wanafahamu tuko kwenye vita ya kiuchumi, tusiwaache wakaendelea kutumika. Muanze na huyu aliyerekodi hiyo clip."
Nape Nauye: Nimeagiza hatua kali za kisheria zichukuliwe kwa kila aliyehusika na KUENEZA UONGO KUWA TANESCO IMEPANDISHA BEI YA UMEME WAKATI WAKIJUA FIKA KUWA SIO KWELI. UTUNGAJI na EUNEZAJI wa Taarifa za Uongo kiasi hiki ni UCHOCHEZI wenye lengo la kujenga CHUKI dhidi ya Tanesco na Serikali.