Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchepuko wa marehemu Una nguvu kuliko mjane mwenyeweHata babako yupo motoni
Huyo bidada anatamani turudi tulipotoka, Sugu anamsubiri amsugue vizuri 2025 Mbeya.Hiyo vita vya kiuchumi tunapambana na nani maana nchi tayari imeshafunguliwa.
Washughulikiwe na wanafanya makusudi..Sasa kama unafahamu unachoeneza niuongo uachwe tuu mzee. hata sisi CHADEMA tukipata madaraka haitakua hivyo.
Mnataka kurudia yale ya Magu ambayo huwa mnayapigia kelele humu na kujinasibu kuwa hatutawahi kuyaona kwenye hii awamu ya mama yenu??Naunga mkono hoja ya Spika, wapuuzi wamezidi Sana na niliwahi kuandika kwamba Serikali idhibiti uhuru wa kisenge maana ukizidi unakuwa upotoshaji na uzushi..
Kuna makapi ya Maagu bado yana ota ule utawala dhalimu walio kuwa wanauendeleza. Huyu betina ni mmoja wa hayo makapiHuyu njiti naye ni masalia ya yule dhalim aliyeko motoni sasa hivi, ana roho mbaya sana.
Ndio inavyotakiwa, wapuuzi wa hivi hawatakiwi kuachwa..
Waachieni watu uhuru wao wa kuongea, msutake kuturudisha kwa JPM ambaye mmekuwa mkimnanga kila siku humu kwa kutokutaka kwake kuzungumziwa vibaya.Ila aliezusha habari ya bei ya umeme huyo hata akikamatwa ni halali yake
People have to be accountable for their lies
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Wewe acha upumbavu,kwa hiyo ulete uzushi afu uwe unachekewa sio?Mnataka kurudia yale ya Magu ambayo huwa mnayapigia kelele humu na kujinasibu kuwa hatutawahi kuyaona kwenye hii awamu ya mama yenu??
Waacheni watu waongee kama ambavyo mlitaka wakati ule, wapeni watu uhuru wao.
Hivi Bei elekezi ya umeme ni sh ngapi kwa unitIla aliezusha habari ya bei ya umeme huyo hata akikamatwa ni halali yake
People have to be accountable for their lies
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Waliposhughulikiwa enzi hizo si mliita udikteta na mkadai watu wanatakiwa waongee, au huu uzushi umeanza awamu hii?Wewe acha upumbavu,kwa hiyo ulete uzushi afu uwe unachekewa sio?
Magu alichokosea ni kugombana na watu wa biashara, majirani,kubambikia watu kesi nk ila kwenye kudhibiti wapuuzi naunga mkono Mama asiwachekee watampanda kichwani..
Kuongoza Nchi sio kuchekeana chekeana wakati mnahatarisha maslahi ya Nchi..Unaeneza uzushi kwa faida ya nani hasa?
Kwa hiyo yeye ni mchepuko ila wewe ndio mke kamili?Mchepuko wa marehemu Una nguvu kuliko mjane mwenyewe
Kitu cha asali....!!Utamu wa madaraka umefika patamu
Wewe ndiye mchepuko mama J ndiye alikuwa mke halali,si unaona yuko kimya nyie mahawara wa mwendazake ndiyo kutwa nzima mnasumbuaKwa hiyo yeye ni mchepuko ila wewe ndio mke kamili?
Huyu ugliest face Ni leftovers za Jitu katili uaji, potezaji na sheitwani mkubwa. Sioni ajabu ku behave that way. Shetani nunda mla watuTulia Ackson: Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameitaka Serikali kuanza kuchukua hatua wanaopotosha kwa kinachoendelea Ngorongoro zikiwemo taasisi,”sisi wabunge tunafahamu na wananchi wanafahamu tuko kwenye vita ya kiuchumi, tusiwaache wakaendelea kutumika. Muanze na huyu aliyerekodi hiyo clip."
Nape Nauye: Nimeagiza hatua kali za kisheria zichukuliwe kwa kila aliyehusika na KUENEZA UONGO KUWA TANESCO IMEPANDISHA BEI YA UMEME WAKATI WAKIJUA FIKA KUWA SIO KWELI. UTUNGAJI na EUNEZAJI wa Taarifa za Uongo kiasi hiki ni UCHOCHEZI wenye lengo la kujenga CHUKI dhidi ya Tanesco na Serikali.