Watajua wenyewe sisi haituhusu.Tulia Ackson: Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameitaka Serikali kuanza kuchukua hatua wanaopotosha kwa kinachoendelea Ngorongoro zikiwemo taasisi,”sisi wabunge tunafahamu na wananchi wanafahamu tuko kwenye vita ya kiuchumi, tusiwaache wakaendelea kutumika. Muanze na huyu aliyerekodi hiyo clip."
Nape Nauye: Nimeagiza hatua kali za kisheria zichukuliwe kwa kila aliyehusika na KUENEZA UONGO KUWA TANESCO IMEPANDISHA BEI YA UMEME WAKATI WAKIJUA FIKA KUWA SIO KWELI. UTUNGAJI na EUNEZAJI wa Taarifa za Uongo kiasi hiki ni UCHOCHEZI wenye lengo la kujenga CHUKI dhidi ya Tanesco na Serikali.
Naunga mkono hoja ya Spika, wapuuzi wamezidi Sana na niliwahi kuandika kwamba Serikali idhibiti uhuru wa kisenge maana ukizidi unakuwa upotoshaji na uzushi..Tulia Ackson: Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameitaka Serikali kuanza kuchukua hatua wanaopotosha kwa kinachoendelea Ngorongoro zikiwemo taasisi,”sisi wabunge tunafahamu na wananchi wanafahamu tuko kwenye vita ya kiuchumi, tusiwaache wakaendelea kutumika. Muanze na huyu aliyerekodi hiyo clip."
Nape Nauye: Nimeagiza hatua kali za kisheria zichukuliwe kwa kila aliyehusika na KUENEZA UONGO KUWA TANESCO IMEPANDISHA BEI YA UMEME WAKATI WAKIJUA FIKA KUWA SIO KWELI. UTUNGAJI na EUNEZAJI wa Taarifa za Uongo kiasi hiki ni UCHOCHEZI wenye lengo la kujenga CHUKI dhidi ya Tanesco na Serikali.
DuhHuyu njiti naye ni masalia ya yule dhalim aliyeko motoni sasa hivi
Hawa wajinga wanadhani Tanzania ni mali yao binafsiTulia Ackson: Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameitaka Serikali kuanza kuchukua hatua wanaopotosha kwa kinachoendelea Ngorongoro zikiwemo taasisi,”sisi wabunge tunafahamu na wananchi wanafahamu tuko kwenye vita ya kiuchumi, tusiwaache wakaendelea kutumika. Muanze na huyu aliyerekodi hiyo clip."
Nape Nauye: Nimeagiza hatua kali za kisheria zichukuliwe kwa kila aliyehusika na KUENEZA UONGO KUWA TANESCO IMEPANDISHA BEI YA UMEME WAKATI WAKIJUA FIKA KUWA SIO KWELI. UTUNGAJI na EUNEZAJI wa Taarifa za Uongo kiasi hiki ni UCHOCHEZI wenye lengo la kujenga CHUKI dhidi ya Tanesco na Serikali.
Kipi ambacho ni cha uongo.Sasa kama unafahamu unachoeneza niuongo uachwe tuu mzee. hata sisi CHADEMA tukipata madaraka haitakua hivyo.
Hata babako yupo motoniHuyu njiti naye ni masalia ya yule dhalim aliyeko motoni sasa hivi, ana roho mbaya sana.