Enzi za kutishana zimerudi tena, Spika anatisha, Nape anatisha

Betina katisha tena bora hata andunje alijiuzuru tu
 
Ila aliezusha habari ya bei ya umeme huyo hata akikamatwa ni halali yake
People have to be accountable for their lies

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja ya Spika, wapuuzi wamezidi Sana na niliwahi kuandika kwamba Serikali idhibiti uhuru wa kisenge maana ukizidi unakuwa upotoshaji na uzushi..
Mnataka kurudia yale ya Magu ambayo huwa mnayapigia kelele humu na kujinasibu kuwa hatutawahi kuyaona kwenye hii awamu ya mama yenu??

Waacheni watu waongee kama ambavyo mlitaka wakati ule, wapeni watu uhuru wao.
 
Ila aliezusha habari ya bei ya umeme huyo hata akikamatwa ni halali yake
People have to be accountable for their lies

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Waachieni watu uhuru wao wa kuongea, msutake kuturudisha kwa JPM ambaye mmekuwa mkimnanga kila siku humu kwa kutokutaka kwake kuzungumziwa vibaya.

Kama jinsi ambavyo nyinyi mnamshukuru SSH hata kwa kuamka salama, ndivyo jinsi ambavyo hao wemechagua kuongea kivyao.
 
Mnataka kurudia yale ya Magu ambayo huwa mnayapigia kelele humu na kujinasibu kuwa hatutawahi kuyaona kwenye hii awamu ya mama yenu??

Waacheni watu waongee kama ambavyo mlitaka wakati ule, wapeni watu uhuru wao.
Wewe acha upumbavu,kwa hiyo ulete uzushi afu uwe unachekewa sio?

Magu alichokosea ni kugombana na watu wa biashara, majirani,kubambikia watu kesi nk ila kwenye kudhibiti wapuuzi naunga mkono Mama asiwachekee watampanda kichwani..

Kuongoza Nchi sio kuchekeana chekeana wakati mnahatarisha maslahi ya Nchi..Unaeneza uzushi kwa faida ya nani hasa?
 
Waliposhughulikiwa enzi hizo si mliita udikteta na mkadai watu wanatakiwa waongee, au huu uzushi umeanza awamu hii?

Ndiyo yawezekana kabisa mimi nikawa mpumbavu ila siwezi kuufikia ule wa aliyekubali kutunza shahawa tumboni mwake ili atuletee takataka kama wewe unaetukana watu ambao hawajakutukana.
 
Utamu wa madaraka umefika patamu
Kitu cha asali....!!
We acha tu, jiulize unit moja ya umeme ni Tsh 357 hapo hapo anatokea "Ngumbaru" mmoja anadai "Kuna kundi la watu wanaichonganisha sirikali na wananchi kuhusu umeme tutawashugulikia" ...... 'Kwani uongo ndugu zangu...😂🤣
 
Kwa hiyo yeye ni mchepuko ila wewe ndio mke kamili?
Wewe ndiye mchepuko mama J ndiye alikuwa mke halali,si unaona yuko kimya nyie mahawara wa mwendazake ndiyo kutwa nzima mnasumbua
 
Huyu ugliest face Ni leftovers za Jitu katili uaji, potezaji na sheitwani mkubwa. Sioni ajabu ku behave that way. Shetani nunda mla watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…