Enzi za kutishana zimerudi tena, Spika anatisha, Nape anatisha

 
Kauli za "tupo katika vita ya kiuchumi", zilipelekea watu kutekwa na wengine kupotezwa na wengine kupigwa risasi 16.
Tulia inaelekea anataka kuturudisha hukohuko!
Kuna tofauti wakati ule zilitumika kizalendo wakati huu wa mama zinatumika kifisadi kuwanufaisha mafisadi wanao dhulumu wanyonge
 
Ila aliezusha habari ya bei ya umeme huyo hata akikamatwa ni halali yake
People have to be accountable for their lies

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Hizo habari za umeme siyo uzushi ni zakweli kabisa chini ya kapeti ila kinacho wauma ni kuvuja hizo habari maana mama alisema majuzi kuhusu siri za serikali kuvujishwa
 
Naunga mkono hoja ya Spika, wapuuzi wamezidi Sana na niliwahi kuandika kwamba Serikali idhibiti uhuru wa kisenge maana ukizidi unakuwa upotoshaji na uzushi..

..Na wana-Ccm wanaopotosha na kutukana viongozi wa vyama vya upinzani nao wachukuliwe hatua.
 
Hii nchi tunahitaji Katiba mpya
 

Hakuna serikali wala awamu isiyo na vitisho Tanzania itakua mmeku juzi ama mnaongelea nje ya uhalisia politicizng
 
kusema wazushi wachukuliwe hatua kali za kisheria ni kosa?

alipaswa aseme vipi ?
 
Kauli za "tupo katika vita ya kiuchumi", zilipelekea watu kutekwa na wengine kupotezwa na wengine kupigwa risasi 16.
Tulia inaelekea anataka kuturudisha hukohuko!
Huyu supika Ni masalia ya mwendazake na kwakuwa wenyewe walipewa Kinga ya kutoshitakiwa baaasi wanajiona wako Salama....
Time will tell.
 
Huyu njiti naye ni masalia ya yule dhalim aliyeko motoni sasa hivi, ana roho mbaya sana.
mwili na sura yake vinajieleza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…