Enzi za Mr II a.k.a Sugu

Enzi za Mr II a.k.a Sugu

Katika wasanii wenye akili Sugu ni namba moja kwa kweli mana katoka mbali hadi hapa alipo.
 
Huyu jamaa jembe toka kitambo, najua clouds inawauma lakini ndo watafanyaje jamaa ndo kashakuwa muheshimiwa.
 
that guy is a.k.a mr legendary...long time ago enzi hizo vijana wanaonekana ni wahuni ukiwa unaimba/kurap
 
Sugu ni kama mvua ikiamua kunyesha inanyesha hakuna wa kuizuia....sugu moto chini
 
Sugu ni kama mvua ikiamua kunyesha inanyesha hakuna wa kuizuia....sugu moto chini
Wera wera wera, sugu Moto juu, sugu Moto juu, oyoooooooo, fagilia dume fagilia dume la kufa mtu* 20
 
Back
Top Bottom