Enzi za Mwenyekiti Aikael uchaguzi ungepita kimya kimya

Enzi za Mwenyekiti Aikael uchaguzi ungepita kimya kimya

Natafakari muda wooote huo Chadema boss wao alikuwa msaliti. Ila Mimi nilimsanukia kwenye mazishi ya kibao pale alipowagombeza vijana wa Chadema kwa ukali akiwataka wasifanye chochote. Nilisema moyoni huyu sio bure
 
Sultan Mbowe anabunya tartiiib ile b12 aliyovuta kwa Samuya na ni mwanaccm kindakindaki hivi sasa.
 
Back
Top Bottom