ENZI ZA SECONDARY

james marco

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
208
Reaction score
167
Na kumbuka chatting enzi za secondary school.

°Baby fungua mlango nakuja tulale[emoji188]

°Nimefungua njoo ndani Honey [emoji124]

°Nisogelee sweet na utoe nguo

°Baby funga macho nikukiss[emoji85]

°Nishafunga baby.

°Mwaaa...

Muda huo ni usiku, upo Musoma secondary na huyo mjinga mwenzio yupo Mbeya secondary.....
 
hii nimefanya sana mwaka 2007 nikwa form five
 
Nilipokua o level siku enjoy hivi vitu nikadhani high school havitokuepo so nimevikosa

Kufika high school ikawa balaa.kutumiwa na videos kabisa FB na skype enzi zile 2010+
 
Hizo zitakuwa sekondari za kisasa, maana sisi enzi zetu ilikuwa barua zenye kopa kubwa yenye mkuki na maneno ya 'sili silali', 'nikinywa maji nakuona kwenye glass'

Old is gold, I miss those days![emoji1751]
 
[emoji23] aisee
 
Enzi za kuandikiana vikaratas na kutumiana kadi mashulen ila ole wake uyo mdada barua au kadi yake ishikwe. Mwaka 2007 enzi nasoma kidato cha 6 pale Azania masomo yang ya ECA basi nkawa natuma vikadi vya ujumbe wa mapenz kwa kidem chang kilichokua kinasoma kidato cha 5 pale Nganza Girls jijin Mwanza kikichukua masomo ya ECA bas ilikua ni rahaaa
 
Acha kabisa, enzi hizo ukiipata barua au kadi unaibusu kwanza mara mbili mbili, na unaisoma ukiwa sehemu tulivu ili kuvuta hisia katika maneno yaliyo kwenye hiyo barua/kadi.
 
Yaani ilkuwa raha sana hasa ukipata kadi hadi rafiki zako wanakuonea wivu
Acha kabisa, enzi hizo ukiipata barua au kadi unaibusu kwanza mara mbili mbili, na unaisoma ukiwa sehemu tulivu ili kuvuta hisia katika maneno yaliyo kwenye hiyo barua/kadi.
 
kata wewe bhana...aaa kata wewe.....mmmm kata wewe bhana.......tigo mungu aliwaona sa tano usiku muda wa kulala watu wanaongea hadi kusimuliana movie
Hahahaaa umenikumbusha watu tulivyokuwa tunakaa attention na simu kusubiria muda ufike, maana ukichelewa tu kupata network ilikuwa issue
 
Hizo zitakuwa sekondari za kisasa, maana sisi enzi zetu ilikuwa barua zenye kopa kubwa yenye mkuki na maneno ya 'sili silali', 'nikinywa maji nakuona kwenye glass'

Old is gold, I miss those days![emoji1751]
DEDICATION NYIMBO YA WEST LIFE MY LOVE , HAPO KUISIKILIZA NI MPAKA KIPINDI CHE MALOVEE NEXT WEEK REDIONI UKIIKOSA NDO BASI MPAKA IPITE WEEK TENA,.
 
Enzi za sasa mnaishi na simu mashuleni kipindi chetu ilikuwa barua na kadi za mapenzi. Mkiagana wakati likizo inaisha kuonana ni hadi likizo nyingine, ukitumiwa barua sikuhiyo unalala mapema ili uisome usiku chezea mapenzi ya wahenga
 
Enzi za kiss bofere opening
Hizo zitakuwa sekondari za kisasa, maana sisi enzi zetu ilikuwa barua zenye kopa kubwa yenye mkuki na maneno ya 'sili silali', 'nikinywa maji nakuona kwenye glass'

Old is gold, I miss those days![emoji1751]
 
Acha sisi tupite, ambao tulikuwa na comb ngumu iliyokataa kufanya ujinga huo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…