Emmanuel_Adam14
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 670
- 744
kwel zaman ni RAHA SANAAcha kabisa, enzi hizo ukiipata barua au kadi unaibusu kwanza mara mbili mbili, na unaisoma ukiwa sehemu tulivu ili kuvuta hisia katika maneno yaliyo kwenye hiyo barua/kadi.
Haaaaaaaaahaaahahah an hiyo nikwelSwaga za kisekondari