Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Bila kusahau na samaki wenye mimba.Gwiji wa hesabu Tanzania ni yule aliyekariri idadi ya dagaa wote waliopo kwenye maziwa na mito ya Tz....pamoja na minyoo waliopo ndani ya dagaa hao.
Ndio, na kuwa mimba iliingia saa ngapi, dakika na sekunde.Bila kusahau na samaki wenye mimba.
Post x²Gwiji wa hesabu Tanzania ni yule aliyekariri idadi ya dagaa wote waliopo kwenye maziwa na mito ya Tz....pamoja na minyoo waliopo ndani ya dagaa hao.