Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Enzi za Shule,…
Unatoka chumba cha mtihani wa hesabu na unakuta magwiji wa namba wanabishana. Mmoja anasema jibu ni 3 na mwingine anasema ni -3 wakati wewe umepata jibu 41,987.
Hapo ndio utaelewa kuwa mlemavu sio mpaka yule aliyekaa kwa wheelchair pekee yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]