Enzi za Shule

Enzi za Shule

Tuwaseme

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
645
Reaction score
1,192
Unatoka chumba cha mtihani wa hesabu na unakuta magwiiji wa namba wanabishana.......

1: anasema jibu ni 3 na mwingne anasema jibu ni -3

Wakati wewe umepata jibu 41, 987.

Hapo ndio utaelewa kuwa mlemavu sio mpaka yule aliyekaa kwa WheelChair pekee yake..
 
Back
Top Bottom