ENZI ZA UTOTO: siku ya kwanza unapata kesi ya TABIA MBAYA/MATUSI ilikuaje hapo home ?

ENZI ZA UTOTO: siku ya kwanza unapata kesi ya TABIA MBAYA/MATUSI ilikuaje hapo home ?

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
9,428
Reaction score
27,096
Mi binafsi nakumbuka siku nilikula fimbo nzuuuuuuuuri kabisa huku naangalia pilipili zipo kwenye kisahan tayar kwa kuja kunisulubu,
Jaman balaa lote hilo kisa JENI, alaf jeni mwenyewe hata sijaambulia kitu na mpaka leo cjui yupo wapi. ....[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Uyo jeni ilikuajee
Mkuu c niligumiwa nataka kufanya nae tabia mbaya, c unakumbuka enzi za utoto mzazi akipewa kesi kuwa umekutwa unafanya tabia mbaya na, mtoto wa jiran basi ni kipigo kizzzzzuuur ili ajenge ujirani mwema,
Jeni alikua jiran yetu mtoto wa mjeshi
 
Ahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahqhqhq.........umenikumbusha mkuu....m nakumbuka nilikulaga mizigo kwenye yale ma michezo ya baba na mama .....na kombolela ila story zikawa znaishia chini chini tyuuuuu.......hahahajajaja
 
Back
Top Bottom