Enzi za utoto....

Enzi za utoto....

Ashindwae pia ni mume,.....tafadhali nielekeze Jolie Jolie
Kama unatumia app unaclick tu comment yako,upande wako wa kulia juu kabisa baada ya kuclick comment uliyokosea utakutana na vidoti flani vitatu,click hapo utakutana na neno la kwanza kabisa "moderate" ukichagua hiyo moderate utakutana na edit na delete.Na hapo ndo unaweza kufanya chochote kulingana na machaguo na mahitaji yako.


Shida ni moja,siko vizuri kabisa kwenye suala la kuelekeza sasa sijui kama tutakua tumeelewana
 
Sarakasi pia nimeruka,kujinyonga nyonga na kujikunja nimefanya sana....nashangaa siku izi nimekua na mwili mzito viungo havijikunji kunji kama zamani
Aisee labda tuitazame kwa jicho la tatu theory of evolution...!

Nadhani ni ukosefu wa muendelezo wa mazoezi ambao inachangiwa kwa kiasi kikubwa na changamoto za maisha tunayopitia.

Nilikuwa namskiliza songa enzi za utoto ghalfa nikauona Uzi huu.

Unamfahamu songa-(hip hop) msanii..?
 
Dah..mie nilikuwa mtaalam wakutengeneza Molotov cocktail...nilikuwa nabadilishana na maandazi.....😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom