Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
We ni wa juzi shemu,acha baba zako wadogo wakusimulie ya kaleHahah!! Mixer na visu kabisa kweli ilikua ni kwele mzee
Ndio.Mpaka saivi unajua kulenga ndege?
Wakat we mwenyew mdogoAta wadogo zako siku hizi hawafanyi tena hivyo zaidi ni Ps na FIFA
Sasa mjini si hakuna ndege?Ndio.
Hahah!! Shem bhnWakat we mwenyew mdogo
Unasamehe jamaniWe ni wa juzi shemu,acha baba zako wadogo wakusimulie ya kale